Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

kwahiyo kaka mchanganyiko wa kitunguu swaumu,bangi na nguruwe yaweza kuwa tiba tosha ya kinga kwa mwili zidi ya uchawi na magonjwa??
Duu naweza kusema ndio japo hiyo colabo yako inatisha
 
Ukitia ndimu iliukate haruhu haupunguzi nguvu yake na ukitumia vipande 15 kila siku asbh na asali vijiko viwili inabusti mambo yetu Hamna madhara asbh kabla hujatia kituo tumboni

Hewaa nao wi a toking ze sem langueji man. Tumechoshwa na misupu ya pweza ya baridi iliyomwagiwa bizari barabarani.
 
Njia nzuri ponda ponda kwenye kinu au saga kwenye blender weka maji kidogo acha itulie, then kamulia limau.

Hapo sio ntaichakachua mkuu? Napenda nipate kitu orijinale.

Naona kunaweza kutokea fursa ya biashara hapa, ukitengeneza juice ya Gallic si utauza kwa bei nzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…