Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Ni moja kati ya thread bora humu JF, naomba ufafanuzi wa kina kuhusu faida za kutafuna kipande cha kitunguu swaumu na kulala na kipande cha limao chini ya mto.
 
Ni moja kati ya thread bora humu JF, naomba ufafanuzi wa kina kuhusu faida za kutafuna kipande cha kitunguu swaumu na kulala na kipande cha limao chini ya mto.
Hivi vyote vina faida kiafya hasa kukinga magonjwa na kupunguza mafuta mwilini lakini pia kwenye ulimwengu wa roho husaidia kukinga na roho wachafu katika ujumla wao
 
a37ca7528bfe0f3d940e82048120b2e0.jpg

Sitakagi ujinga linapokuja swala la nguvu za kiume.... Kama sasa iv nipo 4g nataka kujboost adi 7g[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
halafu jamaa ukikutana naye hutoamini, yupo kisasa sana unaweza bisha kama ndo huyu anatoa nondo za kale
Anajua kuyatafuta MAARIFA . . , anasoma sana, anasikiliza wataalamu, ana uliza maswali kwa wanaojua zaidi . . , anatafiti . .

Kwa ujumla, Mshana ana "passion" . . , na ELIMU na MAARIFA makubwa . .

Big up mtani wangu . . [emoji106]
 
Kinga nzuri sana ya malaria. Sikumbuki mara ya mwisho kuugua malaria japo nipo jiji la malaria dsm. Hata net sijui bei yake. Chukua vipande kadhaa kula na ndimu ama limao kukata makali yake. Then endelea kulala bila net! Kula vipande kama tano hv guarantee 5+ years without malaria! Mungu Mkubwa!
Nilisoma chuo fulani mkoa wa Tanga, kulikua na dogo mmoja mzigua akipenda sana kula vitunguu saumu . . Pia alikua hatumii neti ya kuzuia mbu wakati wa kulala . .
Kwa muda wa miaka tuliyokaa nae hakuwahi kuugua hata mafua . . , pamoja na kwamba alikuwa mnywa mzuri wa boha na gongo ya mipapai na miwa . .
 
Ni kweli kabisa kitunguu saumu ni kinga ya magonjwa mengi
 
Mshana Jr kitunguu swaumu kina madini mengi ya sulphur na ndo chanzo cha harufu yake mbaya sulphur ina kazi ya kutoa sumu mwilini zinageuzwa kuwa polysulph

Post sent using JamiiForums mobile app
Asante sana kwa nyongeza

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Vitunguu swaumu ninavitwanga sawasawa. Natafuna punze za kutosha. Nilikuwa Ninasumbuliwa na fungus vidole miguuni nilipoanza kuvila sikumbuki niliponaje ila hata nivae Viatu gani fungus hakuna. Malaria huu ni mwaka wa 10 siyajui kabisa. Colestrol ndiyo ninapigana nayo kwa sasa ili iwe less than 10.
 
Mapunye chunusi usoni, kuwashwa nywele na mambo yetu yale pia ni tiba na kinga bora kabisa
 
Hizi ni kati ya mada ambazo huchoki kuzisoma humu JF asante mtoa mada mshana jr maana zina mafundisho makubwa na ni tiba
 
Back
Top Bottom