Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vyote vina faida kiafya hasa kukinga magonjwa na kupunguza mafuta mwilini lakini pia kwenye ulimwengu wa roho husaidia kukinga na roho wachafu katika ujumla waoNi moja kati ya thread bora humu JF, naomba ufafanuzi wa kina kuhusu faida za kutafuna kipande cha kitunguu swaumu na kulala na kipande cha limao chini ya mto.
Anajua kuyatafuta MAARIFA . . , anasoma sana, anasikiliza wataalamu, ana uliza maswali kwa wanaojua zaidi . . , anatafiti . .halafu jamaa ukikutana naye hutoamini, yupo kisasa sana unaweza bisha kama ndo huyu anatoa nondo za kale
Nilisoma chuo fulani mkoa wa Tanga, kulikua na dogo mmoja mzigua akipenda sana kula vitunguu saumu . . Pia alikua hatumii neti ya kuzuia mbu wakati wa kulala . .Kinga nzuri sana ya malaria. Sikumbuki mara ya mwisho kuugua malaria japo nipo jiji la malaria dsm. Hata net sijui bei yake. Chukua vipande kadhaa kula na ndimu ama limao kukata makali yake. Then endelea kulala bila net! Kula vipande kama tano hv guarantee 5+ years without malaria! Mungu Mkubwa!
Ni kweli kabisa kitunguu saumu ni kinga ya magonjwa mengiNilisoma chuo fulani mkoa wa Tanga, kulikua na dogo mmoja mzigua akipenda sana kula vitunguu saumu . . Pia alikua hatumii neti ya kuzuia mbu wakati wa kulala . .
Kwa muda wa miaka tuliyokaa nae hakuwahi kuugua hata mafua . . , pamoja na kwamba alikuwa mnywa mzuri wa boha na gongo ya mipapai na miwa . .
AmazingWhat a lesson in here...!
Simply Amaizing.
Asante sana kwa nyongezaMshana Jr kitunguu swaumu kina madini mengi ya sulphur na ndo chanzo cha harufu yake mbaya sulphur ina kazi ya kutoa sumu mwilini zinageuzwa kuwa polysulph
Post sent using JamiiForums mobile app
Mapunye chunusi usoni, kuwashwa nywele na mambo yetu yale pia ni tiba na kinga bora kabisaVitunguu swaumu ninavitwanga sawasawa. Natafuna punze za kutosha. Nilikuwa Ninasumbuliwa na fungus vidole miguuni nilipoanza kuvila sikumbuki niliponaje ila hata nivae Viatu gani fungus hakuna. Malaria huu ni mwaka wa 10 siyajui kabisa. Colestrol ndiyo ninapigana nayo kwa sasa ili iwe less than 10.
Fafanua kwenye chunusi hapo mkuu, matumizi yake yako vipMapunye chunusi usoni, kuwashwa nywele na mambo yetu yale pia ni tiba na kinga bora kabisa