gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,383
- 7,227
MAra nyingi sana huwa najaribu kufanya mkuu,ila sijawahi kufanikiwa,nineona hapo hyo njia ya ratiba ya kula sijaelewaTuendelee sasa, shida kubwa ilikuwa kipande gani?
Hahahhaa wazee wa kubet [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana meditation ipi inaweza kusaidia kupredict mambo yanayokuja future mfano kubashiri matokeo ya Michezo
Nimejikuta tu nakuangalia kwa jicho baya mkuumkuu mshana Jr naomba kuuliza kama nguvu za psychics ninazo make najikuta kila ninachokitafuta nakipata hasa pesa...sina biashara wala kitega uchumi cha kuniingizia pesa ila kila nikimwambia mtu kuwa naomba pesa hata kama hana ila anajikuta anahangaika kwa ajiri yangu ..sio kwa wanaume au wanawake yan wanajikuta wananipa bila kinyongo....hali hii imenifanya nisome kwa staili hii mpka chuo kikuu kwa missaada ya watu ....sasa juzi nimepata shida ya pesa nikamuomba dada mmoja akawa anadai hana pesa kwa sasa hivi lakini badae nashangaaa kwenye tgo pesa kitu cha kilo 3 kinatuna fasta badae nikampigia kumshukuru akasema yani wew mwanaume una bahati snaa ya kusaidiwa na sijui maisha yako ya baadaye...sasa najiuliza inakuwaje mimi naweza kuelewana na watu hata wale walioshindikana kwa ubahili lakini naweza kuwatoboa na kujikuta wananipa kila ninachokihitaji...
sio kwamba nawavuna hapana najikuta nina shida snaa na nikikaaa usiku kitandani nawaza jinsi gani napata pesa yani nikipata shida ya shilingi laki 3 najikuta nawaza kila dakika kuwa laki 3 laki 3 laki 3 laki 3 halafi kesho asubuh mtu yoyote ninayemuomba fasta snaa ananionea huruma ana anajikuta anadonate mpunga .....daaaah..
nilivunja recod mwez uliopita nimekutana na meneja mmoja wa kampuni flani alikuwa maeneo ya kijijini ,sasa katika kile kijiji akajikuta ana shida ya kutuma document zake kwwnye email lakini pale kijijin hapana access ya internet cafe nikajikuta namsaidia kupitia simu yake ile ile akatuma gafla nikajikuta amekuwa rafiki yangu sasa hivi kaninunulia tecno fantom 6 kwani sikuwah kumuomba simu wala pesa ila nilikuwa na shida na simu ya fantom sana kipindi hiki...niliduwaa snaa na kumuliza umejuaje kama nina shida ya simu lakini anasema usijali dgo langu chukua kama zawadi...sasa najiuliza inakuwaje kila ninachokiwaza nakipata kupitia wengine tena kwa mahangaiko yao...??
sijui kama nina uwezo kumshawishi mtu mindly au laaaaah...make najikuta kuwa na maisha mazuri kupitia migongo ya watu na najiuliza mwishowe itakuwaje maisha yangu ya badae...je nitaendelea kupewa vitu na watu kisa mawazo yangu yamewaza kile kitu mpka lini...?
i want to stop this...i hate what comes in my mind coz its reality manifest seriusly na
hii hali inanitokea mpka na kwenye maswala ya mapenzi nimejikuta nadate na wanawake wengi just kila nikipata hisia kwa yoyote gafla anajikuta anapata shida ambayo mimi ndo naweza itatua na badae inakuwa rahisi kukamilisha yale mambo....najistukia kila mahali kwani hata bada ya kufanya nao mapenzi wnajikuta wananiuliza kama nina nguv yoyote ya kuwavuta mind lakini nawambia sina dawa wala nguvu yoyote sijui kwa kweli...
je nina nguvu kama mnazozisema humu au basi tu ni mungu anaahusha rehema zake..??
Mazingira ya kufanyia hiyo mediation yanatakiwa yaweje?Tuendelee sasa, shida kubwa ilikuwa kipande gani?
Mhindi nae ana mediation balaa kila cku anatukamua hela yetuHahahhaa wazee wa kubet [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mi sina ubaya wwte ila nimejikuta tu namuonea donge jamaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mada ya kismati ama ngekewa ngoja niitafute takutag kuna watu wako hivyo, hiyo ni kinyume na kimavi ama mikosi wakati wewe kila ukiwazacho unakipata kwa njia hizo kuna wenzako wamakisotea na hawakipati ng'o..!!!
Ukisikia waganga wamatoa matangazo ya kusafisha nyota ni vitu Kama hivyo
NB: hii fanya iwe siri yako wabaya wako wakijua umekwisha na pia chunga sana nguo zako hasa za ndani, nywele zote, mate nk nk
Hahhaha nahisi huwa anafanya kabla, haiwezekani atoe point nyingi timu A anaacha timu BMhindi nae ana mediation balaa kila cku anatukamua hela yetu
Ntajitahidi.Jitahidi kuignore
HAhahhha dah ngoja nijikaze, hakuna madhara ya hicho anachokifanya?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]usimwingilie alopewa kapewa
asante kaka. Ngoja nikajaribu kesho akfajiri. Naona ndo mida mizuri hakuna makelele.Usiforce ifanye in natural way
Nipe hatua ya kwanza ya jinsi ya kufanya mediationTulivu na kimya