Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?

unaweza kufanya angali umelala, au ni mpaka utumie ile mikao yetu ya kukunja miguu?
 
Mimi sauti ndo nakumbana nazo na kunitoa kwenye reli na usingizi
 
Mshana Hebu nielezee vzr hapa inamaana meditation inaweza kukufanya uache Imani yako?Kivipi?
Kuna meditation zinaambatana na mafundisho nje ya imani yako... Mfano Krishna, Hindu, Buddhism, Taoism, Confucius nk
 
sijaelewa kwenye vipele ni vipele vya baridi au vipele vya kawaida.? nina vipele vingi sana usoni na sio kawaida yangu je meditation inaweza kuwa sababu .? kwasababu mimi nilianza kufanya meditation sijawahi kuona kitu chochote cha tofauti,sana inanisaidia kurelax na pia kutuliza mind ni ngumu jamani niliacha nataka nianze tena,
 
Ni vipele kabisa ila hupotea baada ya siku chache.... Ila kuna situations hutokea kama vipele vya baridi
 
sasa mim nafanya hiv mwisho wasiku naweza kumiliki nguvu ya aina gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…