lakin nitaweza kumilik power?Meditation haina matokeo njia moja hivyo ni vigumu kukujibu jibu moja
asanteNdio juhudi zako tu
mkuu mimi napenda sana hii kitu ila nadhani huwa siifanyagi kwa kufuata taratibu mara nyingi naishiaga kusinzia tuuu....nahitaji sana msaada wako....
Hahhah aiseèe wewe uko kama mimi
Hizi style za kukaa ndio zinakua shida
Mkuu naona mpaka leo thread bado ipo, au hakuna aliebisha??hii ni kama uchawi ila white witchcraft... ulaya wanasoma darasan...unaweza ona future yako hata kesho ukajua itakuwaje... unaweza control mind za watu wengine na ukamforce mtu aamue according to ur willl iwe good or bad... kipengele hiki kinaitwa wishful thinking... kwa mfano naweza waroga mods wafute hii thread... nan anabisha?
Ukweli huwa haubishaniwi mkuu! 😅Mkuu naona mpaka leo thread bado ipo, au hakuna aliebisha??