Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

Huu ni uongo mkuu kwa maana anayesoma basic o level akifika advance anasoma pure na kuachana na ile basic.

Anayesoma commerce o level ambayo nyie mnadai ni basic ya economics, akifika advance haachani na hiyo commerce ili asome economics bali anayasoma yote.

Umepata logic yangu mkuu? Kwa hiyo economics sio sehemu ya commerce.
Kwenye Pure math kule advance kuna topics 10, mojawapo ya hizo topics ni coordinate geometry 1, probability, sets (ambayo inaanza na basic zen inaingia ndani), statistics 1 etc, hizo nilizotaja zote ni zilezile za olevel mkuu, ss utasemaje anayesoma pure anaachana na basic?
 
Alafu mkuu wanaosoma Economics advance co ECA peke yao bali kuna EGM na HGE ambao hawasomi commerce.
 
Alafu mkuu wanaosoma Economics advance co ECA peke yao bali kuna EGM na HGE ambao hawasomi commerce.
Sasa si unaona jinsi unavyozidi kuonesha umuhimu wa somo la uchumi kuanza kufundishwa tangia kidato cha kwanza.

Mbali na economics, accountancy na commerce zinaweza kuunda combination na masomo yapi mengine?

Hao wa history na geography bado wanaoptions nyingi sana za kuachana na economics kisha wakaenda HGL au HGK, sasa mtu wa ECA akiachana na economics atasoma somo lipi la mbadala?
 
Accounts na Book keeping ni tofauti pia ee?
Kama unazungumzia Accounting basi juwa kwamba book keeping ipo ndani ya Accounting, book keeping it's all about recording Accounting informations but Accounting is the process of identifying measuring and communicating those informations.
 
Kwenye Pure math kule advance kuna topics 10, mojawapo ya hizo topics ni coordinate geometry 1, probability, sets (ambayo inaanza na basic zen inaingia ndani), statistics 1 etc, hizo nilizotaja zote ni zilezile za olevel mkuu, ss utasemaje anayesoma pure anaachana na basic?
Ndio maana moja inaitwa pure na nyingine ni basics mkuu. Kwani watu wa ECA hawasomi mathematics? Mbona sio kama ile ya PCM?

Mkuu, masomo kufanana haina maana kuwa ndio kitu kimoja. Mbona civics na history zinafanana lakini sio kitu kimoja?
 
Sasa si unaona jinsi unavyozidi kuonesha umuhimu wa somo la uchumi kuanza kufundishwa tangia kidato cha kwanza.

Mbali na economics, accountancy na commerce zinaweza kuunda combination na masomo yapi mengine?

Hao wa history na geography bado wanaoptions nyingi sana za kuachana na economics kisha wakaenda HGL au HGK, sasa mtu wa ECA akiachana na economics atasoma somo lipi la mbadala?
Uchumi ndiyo linafundishwa tangia kidato cha kwanza kupitia commerce yaani mwanafunzi aliyesoma commerce tayari anakuwa na idea ya Economics, kwa sisi tuliosoma Economics advance tunajua shida tulikutana nayo toka kwa wanafunzi wa ECA.
 
Ndio maana moja inaitwa pure na nyingine ni basics mkuu. Kwani watu wa ECA hawasomi mathematics? Mbona sio kama ile ya PCM?

Mkuu, masomo kufanana haina maana kuwa ndio kitu kimoja. Mbona civics na history zinafanana lakini sio kitu kimoja?
Pure mana ake ni muendelezo wa basic mkuu, huwezi kusoma pure km huna basic, sawa sawa na anayesoma Physics, hawezi kusoma phy ya advance km hana basic ya olevel, lkn hapa kuna tofauti kdg na masomo mengine ambayo co ya science, masomo ya sayansi na math inampasa mwanafunzi awe na basic knowledge ila hayo mengine haina shida sn japo mwanafunzi mwanzoni atapata tabu ila ataenda sawa na wenzie.
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%
HIli somo ni muhimu sana imagine watu wanaongelea inflation au GDP mara pato la taifa ni mpaka ugogle.
Ila likiwa embebed kidato cha kwanza mpaka cha nne then baadae advance italeta tija
 
[emoji116][emoji116]
Ni kweli ila yana relationship kubwa, kuna topics za basic ambazo mwanafunzi zitamsaidia akizijua toka olevel km anataka asipate tabu sn advance, hizo topics zipo kwenye commerce na pia zipo kwenye Economics.
Screenshot_20210520-201319.jpg
 
Mkuu kimsingi mwanafunzi anayesoma commerce kuanzia form one mpk form four inatosha kabisa kumuandaa kusoma Economics kwasababu hayo masomo yana uhusiano mkubwa tu, ni km mwanafunzi anayesoma basic math o level zen akaja kusoma pure math advance, basic inampa msingi wa kuja kusoma pure na ndivyo ilivyo kwa commerce inampa msingi wa kusoma Economics japo commerce km commerce nayo ina mapana but mwanafunzi aliyesoma commerce o level anakuwa tayari na knowledge ya Economics at some points, pitia hapa [emoji116][emoji116]

View attachment 1792067
Mkuu umemjibu vzuri sana kule juu mimi pia nilimpa hints kama zako kama hataki kuelewa basi. Kuna uhusiano mkubwa tu kati ya commerce na economics kwenye basic knowledge.

Hivo basi mtoto wa o level badala ya kusoma uchumi anapata hints kupitia commerce ya form one na hadi form four.

Mwisho wa siku sisi wachumi tunasema economics ni science, arts and bussines study kwa anesoma EGM ni science, kwa anaependa arts ni HGE na kwa anaesoma biashara ni ECA.

Na ndio maana pakawa na pendekezo kuanzishwe kwa combonation inaitwa PGE ili mwanafuzi mwenye kupenda physics pia asome economics, sababu ina tabia za science. Hilo somo sisi tunaita ni mult skills subject

Swali kwako unaebisha.mtoto akisoma economics o level uta iterm kama somo gani arts, biashara au science?
 
Ni kweli ila yana relationship kubwa, kuna topics za basic ambazo mwanafunzi zitamsaidia akizijua toka olevel km anataka asipate tabu sn advance, hizo topics zipo kwenye commerce na pia zipo kwenye Economics.
Sasa economics na geography wapi na wapi (EGM)? Economics na History vp tena hapa (HGE)?
 
Mkuu umemjibu vzuri sana.kule juu mimi pia nilimpa hints kama zako.kama hatak kuelewa basi.kuna uhusiano mkubwa tu kati ya commerce na economics kwenye basic knowledge.
Hvo basi mtoto wa o level badala ya lusoma uchumi.anapata hints kupitia commerce ya form one na hadi form four.
Huku ni kudanganyana kwa mchana kweupe nyie jamaa
 
Kwani kuna ubaya gani yaani mwanafunzi akaanza kuchagua combination tangu akiwa form one? Ila kunakuwa na masomo ya lazima ambao ni lugha, hesabu na biololojia, na civcs

Kwa mfano, mtoto wa form one anasoma ECA huku akisoma masomo ya lazima lugha, biolojia, hesabu na civics. Jumla masomo yatakuwa ni saba.
 
Mwisho wa siku sisi wachumi tunasema economics.ni science,arts and bussines study kwa anesoma egm ni science, kwa anaependa arts ni HGE na kwa anaesoma biashara ni ECA.

Swali kwako unaebisha.mtoto akisoma economics o level uta iterm kama somo gani arts,biashara au science????
Haya ndio mambo ya kukaririshana ambayo mimi huwa ninayapiga sana vita. Elimu ya Afrika hii ni changamoto sana.
 
Back
Top Bottom