Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Mbona kila kitu nimefafanua katika bandiko langu kuu juu kabisa.Lengo la kutaka iwe hivyo ni nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kila kitu nimefafanua katika bandiko langu kuu juu kabisa.Lengo la kutaka iwe hivyo ni nini mkuu?
Kwanini mkuu?Hapana sikubaliani na wewe
Kwenye Pure math kule advance kuna topics 10, mojawapo ya hizo topics ni coordinate geometry 1, probability, sets (ambayo inaanza na basic zen inaingia ndani), statistics 1 etc, hizo nilizotaja zote ni zilezile za olevel mkuu, ss utasemaje anayesoma pure anaachana na basic?Huu ni uongo mkuu kwa maana anayesoma basic o level akifika advance anasoma pure na kuachana na ile basic.
Anayesoma commerce o level ambayo nyie mnadai ni basic ya economics, akifika advance haachani na hiyo commerce ili asome economics bali anayasoma yote.
Umepata logic yangu mkuu? Kwa hiyo economics sio sehemu ya commerce.
Hapa ndipo umejijibu mkuu.Anayesoma commerce o level ambayo nyie mnadai ni basic ya economics, akifika advance haachani na hiyo commerce ili asome economics bali anayasoma yote.
Umepata logic yangu mkuu? Kwa hiyo economics sio sehemu ya commerce.
Alafu mkuu wanaosoma Economics advance co ECA peke yao bali kuna EGM na HGE ambao hawasomi commerce.Huu ni uongo mkuu kwa maana anayesoma basic o level akifika advance anasoma pure na kuachana na ile basic.
Anayesoma commerce o level ambayo nyie mnadai ni basic ya economics, akifika advance haachani na hiyo commerce ili asome economics bali anayasoma yote.
Umepata logic yangu mkuu? Kwa hiyo economics sio sehemu ya commerce.
Sasa si unaona jinsi unavyozidi kuonesha umuhimu wa somo la uchumi kuanza kufundishwa tangia kidato cha kwanza.Alafu mkuu wanaosoma Economics advance co ECA peke yao bali kuna EGM na HGE ambao hawasomi commerce.
Kama unazungumzia Accounting basi juwa kwamba book keeping ipo ndani ya Accounting, book keeping it's all about recording Accounting informations but Accounting is the process of identifying measuring and communicating those informations.Accounts na Book keeping ni tofauti pia ee?
Ndio maana moja inaitwa pure na nyingine ni basics mkuu. Kwani watu wa ECA hawasomi mathematics? Mbona sio kama ile ya PCM?Kwenye Pure math kule advance kuna topics 10, mojawapo ya hizo topics ni coordinate geometry 1, probability, sets (ambayo inaanza na basic zen inaingia ndani), statistics 1 etc, hizo nilizotaja zote ni zilezile za olevel mkuu, ss utasemaje anayesoma pure anaachana na basic?
Uchumi ndiyo linafundishwa tangia kidato cha kwanza kupitia commerce yaani mwanafunzi aliyesoma commerce tayari anakuwa na idea ya Economics, kwa sisi tuliosoma Economics advance tunajua shida tulikutana nayo toka kwa wanafunzi wa ECA.Sasa si unaona jinsi unavyozidi kuonesha umuhimu wa somo la uchumi kuanza kufundishwa tangia kidato cha kwanza.
Mbali na economics, accountancy na commerce zinaweza kuunda combination na masomo yapi mengine?
Hao wa history na geography bado wanaoptions nyingi sana za kuachana na economics kisha wakaenda HGL au HGK, sasa mtu wa ECA akiachana na economics atasoma somo lipi la mbadala?
Commerce na economics sio sawa hata kidogoHapa ndipo umejijibu mkuu.
Hapana mkuuUchumi ndiyo linafundishwa tangia kidato cha kwanza kupitia commerce yn mwanafunzi aliyesoma commerce tayari anakuwa na idea ya Economics
Pure mana ake ni muendelezo wa basic mkuu, huwezi kusoma pure km huna basic, sawa sawa na anayesoma Physics, hawezi kusoma phy ya advance km hana basic ya olevel, lkn hapa kuna tofauti kdg na masomo mengine ambayo co ya science, masomo ya sayansi na math inampasa mwanafunzi awe na basic knowledge ila hayo mengine haina shida sn japo mwanafunzi mwanzoni atapata tabu ila ataenda sawa na wenzie.Ndio maana moja inaitwa pure na nyingine ni basics mkuu. Kwani watu wa ECA hawasomi mathematics? Mbona sio kama ile ya PCM?
Mkuu, masomo kufanana haina maana kuwa ndio kitu kimoja. Mbona civics na history zinafanana lakini sio kitu kimoja?
Ni kweli ila yana relationship kubwa, kuna topics za basic ambazo mwanafunzi zitamsaidia akizijua toka olevel km anataka asipate tabu sn advance, hizo topics zipo kwenye commerce na pia zipo kwenye Economics.Commerce na economics sio sawa hata kidogo
[emoji116][emoji116]Nakubaliana na wewe kwa 100%
HIli somo ni muhimu sana imagine watu wanaongelea inflation au GDP mara pato la taifa ni mpaka ugogle.
Ila likiwa embebed kidato cha kwanza mpaka cha nne then baadae advance italeta tija
Ni kweli ila yana relationship kubwa, kuna topics za basic ambazo mwanafunzi zitamsaidia akizijua toka olevel km anataka asipate tabu sn advance, hizo topics zipo kwenye commerce na pia zipo kwenye Economics.
Mkuu umemjibu vzuri sana kule juu mimi pia nilimpa hints kama zako kama hataki kuelewa basi. Kuna uhusiano mkubwa tu kati ya commerce na economics kwenye basic knowledge.Mkuu kimsingi mwanafunzi anayesoma commerce kuanzia form one mpk form four inatosha kabisa kumuandaa kusoma Economics kwasababu hayo masomo yana uhusiano mkubwa tu, ni km mwanafunzi anayesoma basic math o level zen akaja kusoma pure math advance, basic inampa msingi wa kuja kusoma pure na ndivyo ilivyo kwa commerce inampa msingi wa kusoma Economics japo commerce km commerce nayo ina mapana but mwanafunzi aliyesoma commerce o level anakuwa tayari na knowledge ya Economics at some points, pitia hapa [emoji116][emoji116]
View attachment 1792067Business Economics & Commerce
www.cambridgecollege.co.uk
Sasa economics na geography wapi na wapi (EGM)? Economics na History vp tena hapa (HGE)?Ni kweli ila yana relationship kubwa, kuna topics za basic ambazo mwanafunzi zitamsaidia akizijua toka olevel km anataka asipate tabu sn advance, hizo topics zipo kwenye commerce na pia zipo kwenye Economics.
Huku ni kudanganyana kwa mchana kweupe nyie jamaaMkuu umemjibu vzuri sana.kule juu mimi pia nilimpa hints kama zako.kama hatak kuelewa basi.kuna uhusiano mkubwa tu kati ya commerce na economics kwenye basic knowledge.
Hvo basi mtoto wa o level badala ya lusoma uchumi.anapata hints kupitia commerce ya form one na hadi form four.
Haya ndio mambo ya kukaririshana ambayo mimi huwa ninayapiga sana vita. Elimu ya Afrika hii ni changamoto sana.Mwisho wa siku sisi wachumi tunasema economics.ni science,arts and bussines study kwa anesoma egm ni science, kwa anaependa arts ni HGE na kwa anaesoma biashara ni ECA.
Swali kwako unaebisha.mtoto akisoma economics o level uta iterm kama somo gani arts,biashara au science????