Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

Hii vita isingekua ukigeugeu wa waarabu muajemi angeshamaliza kazi mapema kabisa,,,,watu wanaweka mipango ila waarabu haohao wanakuja ku snitch
Waarabu walitakiwa wafuate Quran ndio iwe katiba yao. Si kufata umagharibi
 
Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana

Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana

Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael

Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda,

Ni sawa tu na mwanaume kupigwa na mkewe halafu mwanamke ajisifu, asijue yule mumewe anaogopa kufungwa jela maisha yake yote kwa hofu ya kumuuwa

Ndivyo lilivyo taifa la Israel!

Ilionekana ni kama kituko cha karine alichokifanya Israel baada ya yale mabomu yaliyotumwa kutoka Irani, Israel alichojibu ni kutuma kitufe fulani hivi ambacho Wairan walikicheeeka kwa dharau zote, wasojue ndani yake kilibeba nini!

Siku za hivi karibuni, taifa hili limekuwa likifanya mambo yanayotatiza akili za watu duniani

Kitendo cha ndege ya Rais wa Iran kuzukwa na moshi mkuu wa ukungu na hatimaye kuanguka, bado dunia inawaza ni walipigaje hapo vijana wa Netanyahu?

Kitendo cha yule gaidi aliyehudhuria uapisho wa Rais mpya huko Iran, kwamba vijana tundu hawa wa Kiisrael walitegaje kile kilipuzi ndani ya hoteli kubwa amnayo pia hutumika kulala kwa viongozi mbalimbali wa Irani na wa mataifa mengine?

Na kitendo cha Jana kufanya vilipuzi katika simu za maadui wao, bado Dunia inakosa majibu, kwamba anapigapigaje huyu Myahudi

Hii ni sawa na kusema, Dunia imetegwa ikategeka

Tulioko Vikindu, Mabwapande, Lupaso huko, kijichi na mbagala, inatubidi tuwe watazamaji tu
Halaf myahudi wala hana mbwembwe ila sasa maadui zake weee kwa mipasho wapo vizuri nasikia ajuza bi mkubwa nasrallah akimaliza kubleed tu naye atabweka
 
Huu uongo wa kudai Israel imehusika na kifo cha Ibrahim Raisi bado mnaushukilia tu!??
Netanyahu mwenyewe amkekiri kuwa Israel hausiki ila wewe bado unashikilia.
Aisee utakua na tatizo la akili.
Ukiamini kabisa Israel itakiri imemua Rais? Kwan mlipuko wa jana Iliyowapasua migaidi ya Hezbollah umesikia Israel wakijihusisha nao?
Umesikia Israel ikisema ilimuua Haniya?
 
Ukiamini kabisa Israel itakiri imemua Rais? Kwan mlipuko wa jana Iliyowapasua migaidi ya Hezbollah umesikia Israel wakijihusisha nao?
Umesikia Israel ikisema ilimuua Haniya?
Israel tukio la Haniyeh hawakukataa wala wahakukubali.
Na walivyoshutumiwa na Iran hawakupinga na waliposikia Iran inajiandaa kulipa kisasi iliandaa mazingira ya kujihami.
Ila tukio la Rais walikana kabla hata hawajashutumiwa.
Hapo unapata picha gani!?
 
Israel ni mtu wa kufanya kazi na matokeo kuonekana na dunia nzima, si mtu roporopo
Rais, Haniyah,na migaidi mingine itazidi fyekelewa mbali.
 
Israel ni mtu wa kufanya kazi na matokeo kuonekana na dunia nzima, si mtu roporopo
Rais, Haniyah,na migaidi mingine itazidi fyekelewa mbali.
Umepewa fact uichambue unabwatuka.
Mbona walivyolipua Iran consulate pale Syria walijisifu??
Mbona walipomuua Haniyeh hawakukataa shutuma!?
Kwanini kufa kwa Ibrahim Raisi walikataa kabla hata hawajaanza kushutumiwa??

Ukiacha ushabiki na kutuliza fuvu utaelewa nini nazungumzia.
 
Na nyie hao hizbollah na hamas waambie wasimame kama wao wasisaidiwe na Iran alafu ndio tujue nani ni nani
Hezbollah, Hamas, Houth, na migaidi mingine wanasaidiwa na Iran, North Korea, Russia, Turkey na mataifa mengine na bado wanauwawa ka nzi na myahudi
 
We nawe kukaza fuvu unabwatuka tu ka umelipukiwa na pager anyway ndo uwezo wako ulipoishia
 
Na nyie hao hizbollah na hamas waambie wasimame kama wao wasisaidiwe na Iran alafu ndio tujue nani ni nani
Hizbollah na Hamas kwa jinsi walivyo duni kamwe hawana ubavu wa kusimama wenyewe hawana any tech sasa wanasimama vipi hao?
 
Hezbollah, Hamas, Houth, na migaidi mingine wanasaidiwa na Iran, North Korea, Russia, Turkey na mataifa mengine na bado wanauwawa ka nzi na myahudi
Una ushahidi gani kama Turkiye,North Korea na Russia wanawasaidia hao wanamgambo??
Evidence please.
 
Na nyie hao hizbollah na hamas waambie wasimame kama wao wasisaidiwe na Iran alafu ndio tujue nani ni nani
Ona sasa msivyotumia akili.
Hamas mmewanyima kumiliki anga na mipaka ya maji.
Mmewanyima kuwa na jeshi kamili
Mmewanyima kununua silaha.
Mmewanyima kumiliki navy.
Halafu still ninyi na majeshi yenu kamili mnapigana nao.
Hamas hawana hata kifaru kimoja mna mobilize mavifaa kama yote.

Hizbullah sasa hivi ina uwezo wa kuunda silaha zake wenyewe.
Hizo silaha unazoziona zimelipua Galilaya ni Lebanese made.
Israel hana ubavu wa kusimama na hizbollah kavu kwa kavu.
Laa sivyo ya 2006 yatajirudia.
 
Una ushahidi gani kama Turkiye,North Korea na Russia wanawasaidia hao wanamgambo??
Evidence please.
Kwa kifupi tu na kuokoa muda nakupa hii Hammas zile tunnels ni tech na supervision ya North korea na inajulikana sana na imeripotiwa sana ila najua kwa akili yako ya urojo na tende utabisha google tu north korea hammas tunnels utajuzwa
 
Ona sasa msivyotumia akili.
Hamas mmewanyima kumiliki anga na mipaka ya maji.
Mmewanyima kuwa na jeshi kamili
Mmewanyima kununua silaha.
Mmewanyima kumiliki navy.
Halafu still ninyi na majeshi yenu kamili mnapigana nao.
Hamas hawana hata kifaru kimoja mna mobilize mavifaa kama yote.

Hizbullah sasa hivi ina uwezo wa kuunda silaha zake wenyewe.
Hizo silaha unazoziona zimelipua Galilaya ni Lebanese made.
Israel hana ubavu wa kusimama na hizbollah kavu kwa kavu.
Laa sivyo ya 2006 yatajirudia.
Hizbollah hana ubavu wa kuunda silaha labda kama unaongelea marungu, mawe. Silaha analetewa na Iran, na iran anakuwa supported na russia, North Korea, na wengine.
Kwa akili zako utakuwa unaamini zile pager katengeneza Hizbollah
 
kuwashinda inawezekana tena asubuhi tu kama kama mpambano ukiw ni israel vs hamas tu au israel vs hezbollah tu...USA na NATO wakae mbali
Mbona hayo makundi yenu ya hezbollah, hamas , houth yanapigana huku iran yupo nyuma yao kwanini Israel asimame pekee yake ili hali magaidi wenu wanasapotiwa silaha, fedha, mafunzo na iran na mataifa mengine ya kiarabu tusiyoyajua kama uturuki
 
Kwa kifupi tu na kuokoa muda nakupa hii Hammas zile tunnels ni tech na supervision ya North korea na inajulikana sana na imeripotiwa sana ila najua kwa akili yako ya urojo na tende utabisha google tu north korea hammas tunnels utajuzwa
Ndio maana ninyi wala mbuzi katoliki huwa mnamezeshwa ujinga.
Vita ya Yomkippur war tunnels zilichimbwa pia.
Kwahiyo nao Egypt walisaidiwa na North Korea!?
Halafu ukitaka kujua huna akili maana unavamia vamia tu taarifa za kipropaganda,unashindwa hata kufikiria kuwa hapo Gaza wakorea wanaingiaje.
Na kwa mtindo gani hadi wawasaidie hao Hamas.
Hizo tunnels zimejengwa muda sana hapo Gaza sio za jana wala juzi.
Kusoma hujui hata picha huoni!??
Hata kipindi cha Salahuddin Ayyubi Caliphate kulijengwa na tunnels kupambana na Roman empire.
Kwahiyo nao zile tunnels ni tech ya North Korea!??

Hamkukaa sawa mkasingizia Iran ndiye aliyepenyeza jeshi na kusaidia Hamas kuvamia October 7.
Aisee akili zenu zina funza ninyi.
Sio kila habari unaokoteza pasi na kuitafiti.
 
Mbona hayo makundi yenu ya hezbollah, hamas , houth yanapigana huku iran yupo nyuma yao kwanini Israel asimame pekee yake ili hali magaidi wenu wanasapotiwa silaha, fedha, mafunzo na iran na mataifa mengine ya kiarabu tusiyoyajua kama uturuki
Kipindi vita inaanza Hamas alikua hasaidiwi na yeyote.
Kama una kumbukumbu vizuri kitendo cha USA na Uk Kupeleka battle ships za msaada Israel ndio na Hizbollah na Houthi wakaingilia kati.
Haiwezekaniki kakikundi cha 30k millitias mkichangie ninyi nchi tatu zenye jeshi kamili.
Hapo hapo mzuie vyakula na maji.
Kama isingetokea hivyo basi Houthi na Hizbollah wangekaa pembeni.
 
Hizbollah hana ubavu wa kuunda silaha labda kama unaongelea marungu, mawe. Silaha analetewa na Iran, na iran anakuwa supported na russia, North Korea, na wengine.
Kwa akili zako utakuwa unaamini zile pager katengeneza Hizbollah
Shida yako unaropoka kama umekunywa wanzuki.
Suala la pager nani hafahamu kama zimenunuliwa nje!??
Hizbollah sasa hivi anao uwezo wa kuunda short range missiles na heavy artillery pamoja na rocket launchers.
Silaha anazochukua Iran ni zile high precision medium na long range guided missiles.
Ila mifumo ya rocket kama katyusha anaunda hapo hapo Lebanon.
Kuhusu Iran kusaidiwa na North Korea na Russia hao huwa wana share technology bas.
Iran hapewi msaada mwingine zaidi tu ya kushare technology tu.
Na kama haujui elimu fanisi ya uchakataji wa nuclear na kuunda hypersonic missiles Iran ndio kamsaidia North Korea.
 
Back
Top Bottom