Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

Mwambie marekani na NATO waondoke mashariki ya kati halafu uone Isreal anavyohamia mazenzese
Marekani bila Israel haipo kaka. Asilimia karibu 80 ya raia wa Israel ni raia wa marekani urusi ulaya na hata huko uarabuni so ulipo yupo.
 
Kwa hivyo wamevamia uarabuni badala ya kuishi kwao America?
Hakuna raia wa asili popote usidanganywe. Hata wewe ukifuatilia utakuta babu zako walitokea mahali wakavamia na hapo walipotoka walivamia pia.
 
Kipindi vita inaanza Hamas alikua hasaidiwi na yeyote.
Kama una kumbukumbu vizuri kitendo cha USA na Uk Kupeleka battle ships za msaada Israel ndio na Hizbollah na Houthi wakaingilia kati.
Haiwezekaniki kakikundi cha 30k millitias mkichangie ninyi nchi tatu zenye jeshi kamili.
Hapo hapo mzuie vyakula na maji.
Kama isingetokea hivyo basi Houthi na Hizbollah wangekaa pembeni.
General alieuwawa kwenye ubalozi wa Iran ndie alikuwa architecture wa October 7.
Sasa hapo unasemaje Hamas hakuwa na usaidizi? Like seriously bro.
 
Hivi wewe unaelewa idadi ya IDF wanaopoteza maisha kila siku Gaza peke yake? Hapo ujawekea upande wa north Israel hana tabia ya kutangaza lakini wanakufa si chini ya 30 every day kwa ujmla
30 Israeli soldiers die everyday since October 7.
347 days since October 7
30*347= 10410 soldiers died since October 7.

The latest death toll stands at 41,957 Palestinians and 1,139 people killed in Israel since October 7.
 
Hezbollah ordered pagers from a Taiwanese company, which had them made in Europe. Israeli agents intercepted the devices in Europe, adding explosives near the battery with a remote trigger.

Yesterday evening, all pagers received a message at the same time appearing to be from Hezbollah leadership, but it was sent by Mossad. The explosion was timed to occur seconds after the message, allowing the operatives enough time to pull the pagers out to read.

Those who took the pagers out to read were blinded, and those who didn’t lost their private parts.
 
Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana

Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana

Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael

Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda,

Ni sawa tu na mwanaume kupigwa na mkewe halafu mwanamke ajisifu, asijue yule mumewe anaogopa kufungwa jela maisha yake yote kwa hofu ya kumuuwa

Ndivyo lilivyo taifa la Israel!

Ilionekana ni kama kituko cha karine alichokifanya Israel baada ya yale mabomu yaliyotumwa kutoka Irani, Israel alichojibu ni kutuma kitufe fulani hivi ambacho Wairan walikicheeeka kwa dharau zote, wasojue ndani yake kilibeba nini!

Siku za hivi karibuni, taifa hili limekuwa likifanya mambo yanayotatiza akili za watu duniani

Kitendo cha ndege ya Rais wa Iran kuzukwa na moshi mkuu wa ukungu na hatimaye kuanguka, bado dunia inawaza ni walipigaje hapo vijana wa Netanyahu?

Kitendo cha yule gaidi aliyehudhuria uapisho wa Rais mpya huko Iran, kwamba vijana tundu hawa wa Kiisrael walitegaje kile kilipuzi ndani ya hoteli kubwa amnayo pia hutumika kulala kwa viongozi mbalimbali wa Irani na wa mataifa mengine?

Na kitendo cha Jana kufanya vilipuzi katika simu za maadui wao, bado Dunia inakosa majibu, kwamba anapigapigaje huyu Myahudi

Hii ni sawa na kusema, Dunia imetegwa ikategeka

Tulioko Vikindu, Mabwapande, Lupaso huko, kijichi na mbagala, inatubidi tuwe watazamaji tu
Nawapenda sana haya majamaa kwenye ulimwengu wa ki intelligence wapo dunia yao...
 
Waarabu walitakiwa wafuate Quran ndio iwe katiba yao. Si kufata umagharibi
Quran? Holly land ni for watu wa Musa not Arabs na hiyo kitu wanajifanya hawaoni kabisa aya za Quran
 
Kama walivyovamia waarabu. C unajua Ibrahim Baba yao alitolewa Iraq akaletwa hapo
Ibrahim hakupelekwa alinunua ardhi yote ya Haifa,Tel Aviv na maeneo mengi ndio maana huwezi sikia mtu akidai
 
Mpaka leo hivyo vifaa vina3ndelea kulipuka.

Anacho fanya israel ana haribu mawasiliano ya hawa Hezbollah kisha aanze kujipigia tu
 
Back
Top Bottom