Marekani bila Israel haipo kaka. Asilimia karibu 80 ya raia wa Israel ni raia wa marekani urusi ulaya na hata huko uarabuni so ulipo yupo.Mwambie marekani na NATO waondoke mashariki ya kati halafu uone Isreal anavyohamia mazenzese
Sasa ninyi mnataka kumchangia Israel na yeye anao wakumsaidia.
Kwa hivyo wamevamia uarabuni badala ya kuishi kwao America?Marekani bila Israel haipo kaka. Asilimia karibu 80 ya raia wa Israel ni raia wa marekani urusi ulaya na hata huko uarabuni so ulipo yupo.
Quruani yenyewe inasema hapo ni kwao.Kwa hivyo wamevamia uarabuni badala ya kuishi kwao America?
Hakuna raia wa asili popote usidanganywe. Hata wewe ukifuatilia utakuta babu zako walitokea mahali wakavamia na hapo walipotoka walivamia pia.Kwa hivyo wamevamia uarabuni badala ya kuishi kwao America?
Kwa hivyo wao wamevamia?Hakuna raia wa asili popote usidanganywe. Hata wewe ukifuatilia utakuta babu zako walitokea mahali wakavamia na hapo walipotoka walivamia pia.
Quran ipi hio?Quruani yenyewe inasema hapo ni kwao.
Kama walivyovamia waarabu. C unajua Ibrahim Baba yao alitolewa Iraq akaletwa hapoKwa hivyo wao wamevamia?
Umeanza Sarakasi.Quran ipi hio?
Ushazoea kusoma biblia ya kiswahili utaifahamu Quran ya kiarabu?Umeanza Sarakasi.
Ulikuwa ushazaliwa? Au story za kanisani?Kama walivyovamia waarabu. C unajua Ibrahim Baba yao alitolewa Iraq akaletwa hapo
Upuuzi tu.Ushazoea kusoma biblia ya kiswahili utaifahamu Quran ya kiarabu?
General alieuwawa kwenye ubalozi wa Iran ndie alikuwa architecture wa October 7.Kipindi vita inaanza Hamas alikua hasaidiwi na yeyote.
Kama una kumbukumbu vizuri kitendo cha USA na Uk Kupeleka battle ships za msaada Israel ndio na Hizbollah na Houthi wakaingilia kati.
Haiwezekaniki kakikundi cha 30k millitias mkichangie ninyi nchi tatu zenye jeshi kamili.
Hapo hapo mzuie vyakula na maji.
Kama isingetokea hivyo basi Houthi na Hizbollah wangekaa pembeni.
30 Israeli soldiers die everyday since October 7.Hivi wewe unaelewa idadi ya IDF wanaopoteza maisha kila siku Gaza peke yake? Hapo ujawekea upande wa north Israel hana tabia ya kutangaza lakini wanakufa si chini ya 30 every day kwa ujmla
Kwani mudy wakati anapewa maagizo na yule Jin kule shimon kati yake na kanisa nani alitambua iwepo wa IsraelUlikuwa ushazaliwa? Au story za kanisani?
Nawapenda sana haya majamaa kwenye ulimwengu wa ki intelligence wapo dunia yao...Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana
Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana
Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael
Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda,
Ni sawa tu na mwanaume kupigwa na mkewe halafu mwanamke ajisifu, asijue yule mumewe anaogopa kufungwa jela maisha yake yote kwa hofu ya kumuuwa
Ndivyo lilivyo taifa la Israel!
Ilionekana ni kama kituko cha karine alichokifanya Israel baada ya yale mabomu yaliyotumwa kutoka Irani, Israel alichojibu ni kutuma kitufe fulani hivi ambacho Wairan walikicheeeka kwa dharau zote, wasojue ndani yake kilibeba nini!
Siku za hivi karibuni, taifa hili limekuwa likifanya mambo yanayotatiza akili za watu duniani
Kitendo cha ndege ya Rais wa Iran kuzukwa na moshi mkuu wa ukungu na hatimaye kuanguka, bado dunia inawaza ni walipigaje hapo vijana wa Netanyahu?
Kitendo cha yule gaidi aliyehudhuria uapisho wa Rais mpya huko Iran, kwamba vijana tundu hawa wa Kiisrael walitegaje kile kilipuzi ndani ya hoteli kubwa amnayo pia hutumika kulala kwa viongozi mbalimbali wa Irani na wa mataifa mengine?
Na kitendo cha Jana kufanya vilipuzi katika simu za maadui wao, bado Dunia inakosa majibu, kwamba anapigapigaje huyu Myahudi
Hii ni sawa na kusema, Dunia imetegwa ikategeka
Tulioko Vikindu, Mabwapande, Lupaso huko, kijichi na mbagala, inatubidi tuwe watazamaji tu
Quran? Holly land ni for watu wa Musa not Arabs na hiyo kitu wanajifanya hawaoni kabisa aya za QuranWaarabu walitakiwa wafuate Quran ndio iwe katiba yao. Si kufata umagharibi
Ibrahim hakupelekwa alinunua ardhi yote ya Haifa,Tel Aviv na maeneo mengi ndio maana huwezi sikia mtu akidaiKama walivyovamia waarabu. C unajua Ibrahim Baba yao alitolewa Iraq akaletwa hapo
Kwa mujibu wa nani hii taarifaIbrahim hakupelekwa alinunua ardhi yote ya Haifa,Tel Aviv na maeneo mengi ndio maana huwezi sikia mtu akidai