FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mmeandika kana vile alifanya hiyo kazi peke yake; kuna wengine pia wasiovaa "vipedo"wametoa mchango wao kwenye utafiti huo lakini nyie wavaa vipedo mnamshabikia mwenzenu tu!!
Soma vizuri hiyo post #1 uone timu iliyopo.
Unaelewa unachokisoma au umekurupuka tu?