Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
Hapa umeongopa Songea to Njombe ni less than 300 Km. Ni pafupi zaidi ya Dar to Dodoma.songea-nombe ni parefu sana aisee sitaki hata kukumbuka kile kipande
Mtuacheee na Songea yetu, sisi tushaizoea na mbona mabadiliko na maendeleo yapo??? Japo sio ya kiwango hicho lol.
Bora useme wee, lolWalau mna hata stendi mpya?
Miji mingine hata stendi hakuna
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Atuachie kabisaaaa,Bana wewe Hesabia Sensa tuachie Songea Yetu, majungu hatutaki.
Watuachieeee, hatutaki kelele zao, sisi tusharidhikaa, wao wanaumia na kipi??Sawa bana,
Hamjaitwa,kwani mnafwata nini huku?
Mtuachie songea yetu.
Umesha wasikia wakurya, wakiagiza uji wa moto, husema Uchi wa motoMmakonde chi ntu,Apo Ni mmakonde sio mtu
Waelezeeeeeeeeee!!!!!!!Kuachana na maendeleo ya vitu ,Ila songea wanafaidi vyakula,unaenda kula mahala wali kuku ,unaletewa bongemsosii mzito ,Tena kuku wakienyeji karibu nusu ,kwa buku jero tu
Nyie huko mkoani kwenu kuna kipi kipyaaa???Kwa ili hawezi kuchomoa..
Hawajui tukifunga mipaka watakufa njaa,Watuachieeee, hatutaki kelele zao, sisi tusharidhikaa, wao wanaumia na kipi??
Majengo ya huku mmejenga nyie??Hao ni wakimbizi kutoka kwa Madiba Afrika Kusini. Toka lini mkimbizi akaijenga nchi anayokimbilia
Namtumbo sio tu haina maendeleo ya vitu, hadi mademu hakuna, ni wilaya ya ajabu sana hakuna wasichana/ mabinti ,kuna wamama na wazeeUsiseme inafanana na baadhi ya wilaya za mikoa mingine sema inafanana na Wilaya ya Namtumbo ambayo ipo ndani ya mkoa huo wa Ruvuma
OVER
Eti mwenzangu wanaumia,kama vile maghorofa ya kariakoo wanamiriki wao,loooooh[emoji23]Watuachieeee, hatutaki kelele zao, sisi tusharidhikaa, wao wanaumia na kipi??
Pa kisenge kinoma, watu wa kule kila sku kulalamika serikali imewatengaKusini mwa Tz Kuna laana kule kulishazindikwa ndio maana nchi haikui hii.
Bora ya kuwa na wazee na wamama,kuliko ya kuwa na madada yansyojiuza.Namtumbo sio tu haina maendeleo ya vitu, hadi mademu hakuna, ni wilaya ya ajabu sana hakuna wasichana/ mabinti ,kuna wamama na wazee
Ruvuma imeizidi kilimanjaro ?Lakin mbona NBS inautaja kuwa top five ya mikoa tajiri nchini kwa GDP kuzidi mikoa maarufu kama Kilimanjaro, kagera nk
NBS inataja mkoa wa Ruvuma kama mkoa wa nane nchini kwa maisha bora[emoji23] sasa sijui wanatumia vigezo vip
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nani alilalamika??Pa kisenge kinoma, watu wa kule kila sku kulalamika serikali imewatenga
Hebu jifunze kuandika kiswahili kwanza...Daaaa elim n kitu Cha msingi sana
Kwaiyo ww unazan GDP ndo kipimo perfect chakupima standard of living mungu akusaidie maaana unasafali ndefu sana mpaka uje kufika