Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

Mwaka 2014 nimekunywa sana komoni kule mitaa ya manzese, bombambili nimepiga sana ulanzi, kule juu sijui kilabu cha mkoa nimekunywa sana napo.
Kuna bar iliitwa planet pale mfaranyaki sijui bado ipo! Hapo ndio tulikuwa tunakunywa bea.
 
Hao ni wakimbizi kutoka kwa Madiba Afrika Kusini. Toka lini mkimbizi akaijenga nchi anayokimbilia
 
Lakin mbona NBS inautaja kuwa top five ya mikoa tajiri nchini kwa GDP kuzidi mikoa maarufu kama Kilimanjaro, kagera nk

NBS inataja mkoa wa Ruvuma kama mkoa wa nane nchini kwa maisha bora[emoji23] sasa sijui wanatumia vigezo vip

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ruvuma imeizidi kilimanjaro ?

kwa umaskini au ?
 
Daaaa elim n kitu Cha msingi sana
Kwaiyo ww unazan GDP ndo kipimo perfect chakupima standard of living mungu akusaidie maaana unasafali ndefu sana mpaka uje kufika
Hebu jifunze kuandika kiswahili kwanza...

Lugha yenyewe kuandika inakushinda kuandika...ujuaji tu.

Hata hujaelewa nilichoquote, unapayuka tu kujibu na kureply...

Hebu rudia kusoma statement yangu vizuri..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom