Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

Iran inaitafuta nini tanzania !
hata miaka ya nyerere alishawai kuwafurumusha hapa.
wanajifanya kuja kusaidia kwa kufadhili miradi kama visima,misikiti na dini kumbe wanalao jambo.

usalama wa taifa tuomba kuichunguza vizuri ili taifa la iran
Irani ndio mfadhiri wa hawa watu kupitia dhehebu lake la shia.

Pia kumbuka nchi ya ilani ndio inaongoza kwa deni kubwa kuikopa Tz.

#MaendeleoHayanaChama
 
Acha kupaniki wewe mzenji...hii dini ina tatizo mahali.

#MaendeleoHayanaChama
Hawa Waislam wameaidiwa ukipigana dhidi ya Kafiri unaenda pepon kupata Wanawake wazuri wenye arufu nzuri,Hao hawa bleed na unapewa na nguvu za kuwagonga wote kuanzia Mia[emoji23][emoji23][emoji23]

Na unapewa Sura nzuri chakula kingi kuanzia sahani mia[emoji23][emoji23][emoji23].
Ndo biashara za Allah wao huko mbinguni.
 
MwanaJF, soma hukumu nzima ya kurasa 100 upate undani wa case hii ilivyounguruma uielewe :

Court name
High Court of Tanzania
Registry
High Court Songea Registry
Case number
Economic Case 4 of 2022

Republic vs Seif Abdallah Chombo and 5 Others (Economic Case 4 of 2022) [2022] TZHC 15198 (16 December 2022);​

Media neutral citation
[2022] TZHC 1519

Soma kwa urefu kurasa zote 100 :
Source : Republic vs Seif Abdallah Chombo and 5 Others (Economic Case 4 of 2022) [2022] TZHC 15198 (16 December 2022); | Tanzlii
 
Hawa Waislam wameaidiwa ukipigana dhidi ya Kafiri unaenda pepon kupata Wanawake wazuri wenye arufu nzuri,Hao hawa bleed na unapewa na nguvu za kuwagonga wote kuanzia Mia[emoji23][emoji23][emoji23]

Na unapewa Sura nzuri chakula kingi kuanzia sahani mia[emoji23][emoji23][emoji23].
Ndo biashara za Allah wao huko mbinguni.
Na mito ya pombe..hiyo pepo ni mwendo wa kungonoka kama wapo kwenye danguro..hatari sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Fanya marekebisho ya kichwa maana mie nimestuka nilipo sikia kupindua serikali yan nikajua UHAINI kosa ambalo kila mwenyekujua sheria analiogopa maana adhabu yake imenyooka sana.

Ungeandika hata 50 kwa jela kwa ugaidi. Maana nimeshtuka. Uhaini watu wanatembea hadi na familia yako
 
Hivi kweli watu sita wanapindua serikali kwa kutumia visu? Maana hawakupatikana na silaha.

Kufanya fujo ingeeleweka.
Enzi za nyerere kunawatu walikimbia nchi kisa uhaini ila hata hawakuwa weng
 
Hii dini ya kishenzi ifutwe tu ,halafu huyo mungu wao Allah atakuwa anamatatizo ya akili.
Huwezi kuifuta maana hiyo dini si kazi ya mwanadamu ni kazi Roho ya upande wa pili. Mudi alitumika tu kui-mainfest.
Mwanzalishi wa hiyo dini ni Yule jamaa Yesu alisema" nilimwona Yule bwana akidondoka toka mbinguni kama Umeme".
So, hakuna mwanadamu anaweza ifuta Maana hiyo dini ina play part kubwa kuliko kitu chochote katika mwisho wa dunia.
 
😂😂😂😂😂 wavaa kobasi wanataka machafuko wakawaongoze wake zao kwa sheria za kiislamu mbali na hapo hii nchi hawaiwezi
 
Hukumu ya miaka 50 haiwatoshi Wawavishe mabomu wafie mbali wakale vizuri bikra zao 72 kama kitabu chao wanachotaka kiwe muongozo wa nchi kinavyosema
 
Hawa Waislam wameaidiwa ukipigana dhidi ya Kafiri unaenda pepon kupata Wanawake wazuri wenye arufu nzuri,Hao hawa bleed na unapewa na nguvu za kuwagonga wote kuanzia Mia[emoji23][emoji23][emoji23]

Na unapewa Sura nzuri chakula kingi kuanzia sahani mia[emoji23][emoji23][emoji23].
Ndo biashara za Allah wao huko mbinguni.
Kuna kuna mito ya pombe tena pombe tamu kuliko hizi za duniani( sheikh kipozeo)
 
Back
Top Bottom