jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Irani ndio mfadhiri wa hawa watu kupitia dhehebu lake la shia.Iran inaitafuta nini tanzania !
hata miaka ya nyerere alishawai kuwafurumusha hapa.
wanajifanya kuja kusaidia kwa kufadhili miradi kama visima,misikiti na dini kumbe wanalao jambo.
usalama wa taifa tuomba kuichunguza vizuri ili taifa la iran
Pia kumbuka nchi ya ilani ndio inaongoza kwa deni kubwa kuikopa Tz.
#MaendeleoHayanaChama