Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Kwa aina ya bus zake lzm apate ugumu sokoni so hana namna lzm aende route ngumu
 
Hasara za matuta
  1. Yanaharibu sana barabara
  2. Yanaongeza sana fuel consumption
  3. Yanaharibu sana tyres
  4. Yanadhoofisha bolts na nuts
  5. Yanachelewesha safari
  6. Yanasababisha ajali nyingi njiani
Wakikusikia Wazazi waliofiwa watoto wao kwa kugongwa na magari makubwa kule Singida, Lazima wakupige mawe hadi unakufa.
 
Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.

Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.

Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?
Braza hii nomaa...
Itusaidia wakina sisi wale wa mikoa ya katikati huku.

#YNWA
 
Comfortability finishing ya ndani mchina bado anakimbiza

Kuna kampuni flani inaitwa Arusha Express ina bus la Scania Marcopollo (Paradiso) linatoka Arusha to Dodoma litafute uingie ndani alafu shuka panda mchina iliyotoka mwaka jana (hiyo Marcopollo imepiga kazi almost 20yrs) then njoo hapa u_reply.
 
Naona superfeo anataka kukimbiza maana Ana Songea To Mwanza na Mbeya to Mwanza anaitafuta kanda ya ziwa taratibu baada ya kumaliza kusini
😳😳😳Kumbe Super Feo ana Mbeya - Mwanza..

Ila hii route mzeee unakaa kwenye gari mpaka una ghairi.

#YNWA
 
Huyu jamaa naona anafuatilia sana route zilizosahauriwa. Anazimeza
 
Hebu nielezee hili..
Mbona Dar - Mbeya/Songwe

New Force (mchina) anashindana na SAULI (BENZI)...?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…