Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Comfortability finishing ya ndani mchina bado anakimbizaMacopolo achuane na mchina, are you serious?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comfortability finishing ya ndani mchina bado anakimbizaMacopolo achuane na mchina, are you serious?.
Ndiyo hivyo ndugu,gari ipo njianiMbamba bay to kyela?? Tangu lini?
Kumbe luhuwiko[emoji3],ok.Yah Mbinga Mbinguni. Mkuu Frank wape hi Luhuwiko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ule mwendo wa SuperFeo kwenye tuta Ni balaa tupu dereva ananyoosha mguu balaa yaan ukiingia ndani ya gari aga kabisa kwenu
Hakuna, sana sana kuna Dodoma Mtwara,Hivi kuna basi lifanyalo route ya Mtwara <> Kagera (Bukoba)?
Chukuwa no hapo kupata maelekezo.Ofisi zao mwanza ziko wapi?
Pia mawasiliano yao tunayapataje?
Wanapitia njombeMKUU ROUTE YA MBAMBA BAY TO DAR WANAPITIA NJOMBE AU MTWARA?
Hana Basi la Mbeya-MwanzaNaona superfeo anataka kukimbiza maana Ana Songea To Mwanza na Mbeya to Mwanza anaitafuta kanda ya ziwa taratibu baada ya kumaliza kusini
Hapo anaingia Mwanza saa11 asbhDuhuuuu Mwanza wataingia saa ngapi? Safari nduguuuu
Kwa aina ya bus zake lzm apate ugumu sokoni so hana namna lzm aende route ngumuMajinja ana reduce cost za uwekezaji....ananunua gari bovu bovu anaenda kulisuka na kuliweka sawa gereji kwake. Likitoka linakuwa kama jipya.
Wakati wewe umenunua Chinese made buses kwa almost 350M TZS...yeye mpaka gari iingie road anaweza kuwa katumia chini ya milioni 100. Na gari husika linaweza kukaa barabarani zaidi ya 10 years.
Then analiweka ruti ngumu ngumu na ndefu anapiga hela.
Wakikusikia Wazazi waliofiwa watoto wao kwa kugongwa na magari makubwa kule Singida, Lazima wakupige mawe hadi unakufa.Hasara za matuta
- Yanaharibu sana barabara
- Yanaongeza sana fuel consumption
- Yanaharibu sana tyres
- Yanadhoofisha bolts na nuts
- Yanachelewesha safari
- Yanasababisha ajali nyingi njiani
Braza hii nomaa...Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.
Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.
Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?
Comfortability finishing ya ndani mchina bado anakimbiza
😳😳😳Kumbe Super Feo ana Mbeya - Mwanza..Naona superfeo anataka kukimbiza maana Ana Songea To Mwanza na Mbeya to Mwanza anaitafuta kanda ya ziwa taratibu baada ya kumaliza kusini
Ndio.
Unataka raia wafie njiani kwa uchovu..Hivi kuna basi lifanyalo route ya Mtwara <> Kagera (Bukoba)?
Oooh kumbeNdio.
Selous sio kampuni ni ID to ya magari.
Kama Golden Deer na New Force.
#YNWA
Hebu nielezee hili..Ni hesabu tu
Scania wanatoa warranty nzuri sana wanapokuuzia kifaa kipya , kama sikosei km 300,000 au miaka mitatu, whichever comes first
Feo hajawahi miliki basi ya scania nafikiri idea ya kununua hizi basi ni ili aweze ku zi push to the limit ilhali akiwa ana enjoy security ya warrant,
Ukicheza kamali kama hii na basi ya kichina lazima upotee kwenye game