namanga-kitonga
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 679
- 744
Dodoma-Kondoa magari machache. Songea-Njombe magari machache, Njombe-Iringa magari mengi. Iringa-Dodoma magari machache. Dodoma-Mwanza magari nyomi.Hiyo route inahitaji a special luxury bus, na kwa advancement hii, tuishauri serikali iondoe matuta yote barabara kuu kama ilivyo kwa kipande cha barabara cha Dodoma Kondoa
Hizo njia ulizozitaja zilifunguka kabla huyo uliemtaja kwa sifa hajaingia madarakaniHongera kwa kwake
Na tuendelee kumshukuru Mungu kwaajili ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa taifa letu
Tuliowahi kusafiri Dar Songea zamani, Songea Masasi na Dar Mwanza kupitia Nairobi tunajua Shujaa metuachia miundombinu ya kututosha na katurahisishia maisha mnoooo
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Aendelee kupumzika kwa amani kipenzi chetu JPM๐๐น๐ฟ๐
Mwanza watafika kesho asubuhi kama singida wamepita 2200Hrs Shinyanga lazma wapigwe pin watalala hapo
Superfeo Imefika Mwanza saa saba dk 26 leo 07/11/2021
Mwanza - Songea kupitia Dar? Hii route itakuwa balaa, hebu kaangalie atlas yako kwanza uone kutoka huku kwenda kule unapita wapi na wapiZile scania G7 saba alizoingiza zitamlipa kwa ruti ndefu ya Mwanza songea, mwanza mbeya.pia apige ya Mwanza Songea kupitia Dar
Dreva na KONDA watafika wamechoka Sana[emoji2]Songea Mwanza hiyo si itakuwa 48 hours hiyo
Kapeleka mchina na yawezekana kuna utafiti anaufanya kwanza.Kama ni Scania atafanya vema lakini kama ni Yotong atapotea mapema, Nasubiria wababe waanzishe Route ya Arusha-Mtwara, Arusha- Songea, Mtwara-Mwanza
Kazi yao awachokiDreva na KONDA watafika wamechoka Sana[emoji2]
Za Kigoma na Bukoba tu wanalala hapo KahamaSio kweli, kuna route gari zinalala njiani,
MusomaKuna route ina abilia wa kutosha ila baadhi wanaiogopa sijui kwa nini, Dar to Musoma, now nadhani kuna kampuni mbili as JM Luxury na CAPRICON.
Hizo njia ulizozitaja zilifunga kabla huyo uliemtaja kwa sifa hajaingia madarakani
Hapo inabidi kuwe na madreva 4 wakatiane. 350kmDreva na KONDA watafika wamechoka Sana[emoji2]
Mchina Route ndefu huwa hadumuKapeleka mchina na yawezekana kuna utafiti anaufanya kwanza.
Yule ni mfanyabiashara atakuwa anafahamu japo jambo la ukweli kuna gari/basi za kichina zinakata upepo kuliko scania ila kwenye kudumu in one or two years ndiyo tatizo.
Hii route sijaielewa mbamba bay to kyela kupitia mbeya?ni kukosa usafiri wa uhakika ziwani au ni kutalii maana ukiwa mwambaoni mbamba bay kyela unaweza kuiona!Mbamba bay to dar
Mbamba bay to kyela
Songea to mwanza
Mambo ni moto
Nafikiri zaidi ni kuwahudumia watu wa Tukuyu japo usafiri wa ziwani pia ni changamoto maana chombo kikitoa nanga pale Ipiyana kufika mbaba bay kuchukua zaidi ya siku nzimaHii route sijaielewa mbamba bay to kyela kupitia mbeya?ni kukosa usafiri wa uhakika ziwani au ni kutalii maana ukiwa mwambaoni mbamba bay kyela unaweza kuiona!
Zilifunga nini?
Dr JPM 1995 alipogombea kiti cha ubunge katika jimbo la Chato alishinda na kuteuliwa kuwa Naibu Waziri katika Wizara ya Ujenzi.
Mwaka 2000 Dkt. Magufuli aligombea na kushinda kwa mara ya pili na kuteuliwa kuwa Waziri wa Wizara ya Ujenzi.
Mwaka 2005 na 2010, aliendelea kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Chato na kushinda uchaguzi huo na kuteuliwa kuwa Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mwaka 2008 alipohamishiwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ambayo aliiongoza hadi mwaka 2010.
Mwaka 2010 alipochaguliwa tena kuwa mbunge wa Chato aliteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi hadi 2015 alipogombea urais na kushinda
2015 hadi 2021 alikua Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania akiweka kipaumbele kwenye miundombinu ya usafiri wa barabara, majini, reli na anga
Huo ndio mchango wake kwenye sekta ya usafiri katika nchi hii
Umeelewa mtanzania mwenzangu?
Au unataka nikupe historia ya barabara za Tanzania pia kuanzia 1995 hadi alipoondoka?
Masasi Songea kulikua hakupitiki, mara ya mwisho mimi binafsi ilibidi nitoke mtwara kuja Dar ndio niende songea 2003. Hivyohivyo kwa Dar Mwanza na barabara nyingine nyingi nchini
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote๐๐น๐ฟ๐
KAZI IENDELEE ๐
Ipiyana=Itungi au kiwira portNafikiri zaidi ni kuwahudumia watu wa Tukuyu japo usafiri wa ziwani pia ni changamoto maana chombo kikitoa nanga pale Ipiyana kufika mbaba bay kuchukua zaidi ya siku nzima
KudadekiHivi kuna basi lifanyalo route ya Mtwara <> Kagera (Bukoba)?
Shida kwangu ni pale ulipoingiza ushabiki na kuuacha uhalisia