Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.

Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.

Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?
Hiyo route inahitaji a special luxury bus, na kwa advancement hii, tuishauri serikali iondoe matuta yote barabara kuu kama ilivyo kwa kipande cha barabara cha Dodoma Kondoa
 
Walipata wapi teknolojia ya kuunda mabodi mazuri.
Ina maana wakiwekeza kwenye injini fubrication wanaweza shindana na youtong buss.
Hakuna kampuni ya mabus inayounda Injini.
Hata youtong utumia za cummin au wechai.

Wapo wajuzi wa kuunda body nikipata pesa taanza unda body classic toka Malasyia wanasuka body nzuri Sana kwa vifaa rahisi tu.Welding machine, mashine ya kuchomelea,grenda,nk
 
Nimeongea na meneja wameweka nauliya 70,000 kwa kilometa hizo 1,400+

Pia Songea to Kilimanjaro inaanza leo tarehe 07.11.2021
Mwambie manager Songea to Kilimanjaro hapo hawajajiongeza maana wangemalizia tu mpaka Arusha.

Au bus inapitia Dodoma, Singida then Arusha to Kilimanjaro?
 
Wameshajibu huko nyuma nauli 70,000 safari ya masaa 19 hivi manake kuna mwamba kasema imefika mwanza saa saba, I hope ilitoka songea saa 06:00
Macopolo wapo vizuri sana ndie anaweza chuana na mchina kwenye luxuriy na comfortability
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…