Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

BIla shaka ni zile scania mpya ndo zinampa jeuri, .... Sasa mtu anasema zongtong gari Kali achen mzaa , scania ineshindkana, ... Route zote nzito inapewa scania... Dar Lubumbashi, dar Nairobi, hata mahari ya bushi huko makete na lupembe ni scania tupu
But huyu mngoni kaanzisha mchina ndiye huyo katoboa stone 🪨city 0100hrs, although tunafahamu mchina nguvu yake road ni 12-24 months anakuwa hoi ila mswidi ndiyo kwanza anaanza kazi.
 
Dah... Labda iwe kwa ajili ya utalii..yaani uchukue Kama siku 5 hivi... zaidi ya km 1300 unasafiri kwa basi kweli? Halafu kesho mnaanza kulalamika upungufu wa nguvu 🤣🤣🤣🤭
 
Naona superfeo anataka kukimbiza maana Ana Songea To Mwanza na Mbeya to Mwanza anaitafuta kanda ya ziwa taratibu baada ya kumaliza kusini
Hongera yake kwa kweli but Kuna kipindi alikuwa na Dar - Kahama miaka ya nyuma kidogo nafikiri palimshinda akatoa gari
 
Super feo ni habari nyingine ana uthubutu kaanzisha route nyingi sana afu wengine wanafuata nakumbuka kipindi nasoma Dodoma nilikuwa napata shida kuunganisha magari kwenda home Mbinga kama kupitia Morogoro au Iringa then nipate gari ya Songea ila mbabe akatuanzisha route ya mojamoja toka Dom mpata Songea town ndipo wengine wakaona fursa.
Home boy
 
Hahaha sasa kwanini habadili kabisa? You're right
Majinja ana reduce cost za uwekezaji....ananunua gari bovu bovu anaenda kulisuka na kuliweka sawa gereji kwake. Likitoka linakuwa kama jipya.

Wakati wewe umenunua Chinese made buses kwa almost 350M TZS...yeye mpaka gari iingie road anaweza kuwa katumia chini ya milioni 100. Na gari husika linaweza kukaa barabarani zaidi ya 10 years.

Then analiweka ruti ngumu ngumu na ndefu anapiga hela.
 
Sauli ana sufuria za Gemilang sura dume
Umekalili mkuu......
20211107164514.jpeg
 
Mwambie manager Songea to Kilimanjaro hapo hawajajiongeza maana wangemalizia tu mpaka Arusha.

Au bus inapitia Dodoma, Singida then Arusha to Kilimanjaro?
Wanapitia iringa, Mtera, dodoma babati Arusha na kumalizia kilimanjaro, ni kama vile mabasi ya mwanza moshi au Tabora moshi yanavyofanya , wakitoka mwanza wanakatisha singida then babati arusha , moshi.
Hakuna basi linalopitia chalinze ati waanze safari ya moshi siku hizi , hapo zamani ilikuwepo hood ya mbeya Arusha kupitia chalinze , lakini wakati huo njia ya kondoa ilikuwa haijafunguka bado
 
Back
Top Bottom