Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

😳😳😳Kumbe Super Feo ana Mbeya - Mwanza..

Ila hii route mzeee unakaa kwenye gari mpaka una ghairi.

#YNWA
Hub ya superfeo ni songea, route ya mbeya mwanza kwa superfeo haipo na sidhani kama itakuja kutokea soon
Biashara za barabarani kwa kiasi flani zinategemea wapambe , chawa na umbea wao, msigwa anaishi songea halafu awe na basi isiyopita Songea!!!?? Haiwezekani
 
Hii ni route ya Premier na Fikoshi na Isamilo.

Mabasi mabayaa ila mnafika.

#YNWA
 
Kuna route ina abilia wa kutosha ila baadhi wanaiogopa sijui kwa nini, Dar to Musoma, now nadhani kuna kampuni mbili as JM Luxury na CAPRICON.
Na falcon pia inapiga musoma-tarime-dar
 
Falcon anakwenda Tarime Dar, Musoma dar ni Kaprikon
Musoma na Tarime ni destination mbili zisizochangamana japo zipo karibu karibu ni kama vile basi za dar to rombo na dar moshi,
Mbona kuna mda anakuja had musoma na ofis zake zipo town. Na ndio bas iliyokuwa inasifika kwa huduma nzuri musoma
 
Hakuna route yenye mabasi mabaya nchi hii Kama route ya Tanga Dodoma. Wafanyabiashara hawaoni hiyo fursa. Watu wanalazimika kupitia Arusha Kisha Dom kwa siku mbili kukwepa tu mabasi mabovu ya njia hiyo.
Nadhani simba ila tashriff si ana vyuma huko vipya tu
 
Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.

Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.

Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?
Yaani safari uliyotakiwa kutumia ndege , unaona ufahari kulala kwenye mabasi. Aliyeturoga ni nani ?
 
Back
Top Bottom