Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Mwewe wa kusini..Umekalili mkuu......View attachment 2002155
Siku hizi NEW fORCE anajaribu jaribuu kumsogelea.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwewe wa kusini..Umekalili mkuu......View attachment 2002155
Hakuna gari ya Super Feo ya Mbeya - Mwanza Mkuu. Gari zinatoka Mbeya direct to Mwanza ni Premier line, Isamilo na Fikoshi pekeeNaona superfeo anataka kukimbiza maana Ana Songea To Mwanza na Mbeya to Mwanza anaitafuta kanda ya ziwa taratibu baada ya kumaliza kusini
Hub ya superfeo ni songea, route ya mbeya mwanza kwa superfeo haipo na sidhani kama itakuja kutokea soon😳😳😳Kumbe Super Feo ana Mbeya - Mwanza..
Ila hii route mzeee unakaa kwenye gari mpaka una ghairi.
#YNWA
Hii ni route ya Premier na Fikoshi na Isamilo.Hub ya superfeo ni songea, route ya mbeya mwanza kwa superfeo haipo na sidhani kama itakuja kutokea soon
Biashara za barabarani kwa kiasi flani zinategemea wapambe , chawa na umbea wao, msigwa anaishi songea halafu awe na basi isiyopita Songea!!!?? Haiwezekani
Na falcon pia inapiga musoma-tarime-darKuna route ina abilia wa kutosha ila baadhi wanaiogopa sijui kwa nini, Dar to Musoma, now nadhani kuna kampuni mbili as JM Luxury na CAPRICON.
Falcon anakwenda Tarime Dar, Musoma dar ni KaprikonNa falcon pia inapiga musoma-tarime-dar
Mwanafunzi wa Huruma na Mbinga Day Orign from Nyasaland.Kumbe luhuwiko[emoji3],ok.
Mbona kuna mda anakuja had musoma na ofis zake zipo town. Na ndio bas iliyokuwa inasifika kwa huduma nzuri musomaFalcon anakwenda Tarime Dar, Musoma dar ni Kaprikon
Musoma na Tarime ni destination mbili zisizochangamana japo zipo karibu karibu ni kama vile basi za dar to rombo na dar moshi,
Solution ni kuwepo askari wa usalama barabarani au cctv, matuta ni hasaraWakikusikia Wazazi waliofiwa watoto wao kwa kugongwa na magari makubwa kule Singida, Lazima wakupige mawe hadi unakufa.
IMbona kuna mda anakuja had musoma na ofis zake zipo town. Na ndio bas iliyokuwa inasifika kwa huduma nzuri musoma
Kuna wakati alifanya hivo ila sijui alikwama wapiMbona kuna mda anakuja had musoma na ofis zake zipo town. Na ndio bas iliyokuwa inasifika kwa huduma nzuri musoma
Mtaa wang mzee mbicu mbicu hvYah Mbinga Mbinguni. Mkuu Frank wape hi Luhuwiko.
Dar to mwanza anaanza soonNaona superfeo anataka kukimbiza maana Ana Songea To Mwanza na Mbeya to Mwanza anaitafuta kanda ya ziwa taratibu baada ya kumaliza kusini
Ww mnyasa nin [emoji23][emoji23]Kumbe luhuwiko[emoji3],ok.
Kum be[emoji16],,,,mie kiwanjani na makitaMwanafunzi wa Huruma na Mbinga Day Orign from Nyasaland.
Kudadeq mbinga day mwaka ganMwanafunzi wa Huruma na Mbinga Day Orign from Nyasaland.
Nadhani simba ila tashriff si ana vyuma huko vipya tuHakuna route yenye mabasi mabaya nchi hii Kama route ya Tanga Dodoma. Wafanyabiashara hawaoni hiyo fursa. Watu wanalazimika kupitia Arusha Kisha Dom kwa siku mbili kukwepa tu mabasi mabovu ya njia hiyo.
Yaani safari uliyotakiwa kutumia ndege , unaona ufahari kulala kwenye mabasi. Aliyeturoga ni nani ?Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.
Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.
Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?