Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Laiti Karl Marx angefufuka aone yanayofanyika. Umati huo ungekuwa unafanya kazi za uzalishaji taifa lingesonga mbele. Mambo yaliyojificha katika ulimwengu wa roho. Anyway,! Amenunua kiwanja kikubwa huko Goba kwa pesa za Umati kama huo.
 
Mjinga mwingine huyu hapa. Yaani unaamini mafanikio kutoka kwa nabii fake badala ufanye kazi.
 
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.

Wapumbavu na wajinga ni mtaji mzuri sana kwa wazee wa Decí, Kalynda, Qnet nk
 
Watu aina ya Kalynds wataendelea sana kupiga hela kwa namna hii.
 
Sa kwa nn na ww usingefika maana leo ijumaa ndio shughuli yenyewe. Ila za chini chini kazi anafanya usiku kucha kwa mkwanja mrefu cc wa mchana ni ads tu.
Mbinga to songea nauli ni 10000/ sijala,sijalala, mwamposa sijampa sadaka, hiyo pesa bora nipeleke st huruma kwa mayatima niwanunulie biskuti wale wafrahi,

Ushajiuliza kwanini kwasasa matamasha mengi wanayaleta songea?! Mechi wakina simba/ Azam wanakuja Ku chezea songea japo uwanja ni mbovu???

Songea/ mbinga baadhi ya watu wa huku ni washamba,wajinga kupita kiasi,

Wacha wauze mahidi na maharage pesa wampelekee mwamposa
 
wanaopenda kitonga ndio utakao wakuta hapo wasichojua nikwamba miujiza ilishaisha zamani sasahivi nikazikazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…