Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Laiti Karl Marx angefufuka aone yanayofanyika. Umati huo ungekuwa unafanya kazi za uzalishaji taifa lingesonga mbele. Mambo yaliyojificha katika ulimwengu wa roho. Anyway,! Amenunua kiwanja kikubwa huko Goba kwa pesa za Umati kama huo.
 
Go go go mtumish wa MUNGU mpk mafuga majini ya masjid na mapagan ya humu watokwe povu humu kama lote. Na wale wafata vidhehebu wanaokalilishwa hakuna mitume na manabii huku wanapngana na biblia inayosema wapo hzo ni karama kama ualimu, kunena kwa lugha, uchungaji nk. Mafuta na maji hata jiwe hata kikombe hata ardhi vina nafsi ulimwengu wa roho ukiwa na iman ukivitamkia ktu vitafanya na itakuwa liwe jema au baya ajabu machawi na maganga yanajua siri hz na yanaztumia kutesa watu ardhi ya shamba lako inatamkiwa kutokuzaa na kamwe hata upande nn huvuni. Adam mwnyw hakulaaniwa yeye ila ardhi tu ilitamkiwa na MUNGU KHS ADAM NAYO IKASKIA. Mbwa mlioko humu toen povu sasa wengne machawi mnaona MUNGU ANAMTUMIA mwamposa anaharibu michoro yenu. MNAUMIA NGIRI NYIE.
Mjinga mwingine huyu hapa. Yaani unaamini mafanikio kutoka kwa nabii fake badala ufanye kazi.
 
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.

Wapumbavu na wajinga ni mtaji mzuri sana kwa wazee wa Decí, Kalynda, Qnet nk
 
Watu aina ya Kalynds wataendelea sana kupiga hela kwa namna hii.
 
Sa kwa nn na ww usingefika maana leo ijumaa ndio shughuli yenyewe. Ila za chini chini kazi anafanya usiku kucha kwa mkwanja mrefu cc wa mchana ni ads tu.
Mbinga to songea nauli ni 10000/ sijala,sijalala, mwamposa sijampa sadaka, hiyo pesa bora nipeleke st huruma kwa mayatima niwanunulie biskuti wale wafrahi,

Ushajiuliza kwanini kwasasa matamasha mengi wanayaleta songea?! Mechi wakina simba/ Azam wanakuja Ku chezea songea japo uwanja ni mbovu???

Songea/ mbinga baadhi ya watu wa huku ni washamba,wajinga kupita kiasi,

Wacha wauze mahidi na maharage pesa wampelekee mwamposa
 
wanaopenda kitonga ndio utakao wakuta hapo wasichojua nikwamba miujiza ilishaisha zamani sasahivi nikazikazi
 
Back
Top Bottom