Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
Watu hawafati upako wa kuwa matajiri,watu wanataka kuponwa na magonjwa na kutoka kwenye kifungo,ww ni mpagani?Wajinga ndio waliwaoView attachment 2386722
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hawafati upako wa kuwa matajiri,watu wanataka kuponwa na magonjwa na kutoka kwenye kifungo,ww ni mpagani?Wajinga ndio waliwaoView attachment 2386722
Hata dar wanakanyaga mafuta😂😂😂wanaenda tapeliwa hao kule Moshi walikuwa walivyokuwa mazuzu kwa kukanyaga mafuta.
Mjinga mwingine huyu hapa. Yaani unaamini mafanikio kutoka kwa nabii fake badala ufanye kazi.Go go go mtumish wa MUNGU mpk mafuga majini ya masjid na mapagan ya humu watokwe povu humu kama lote. Na wale wafata vidhehebu wanaokalilishwa hakuna mitume na manabii huku wanapngana na biblia inayosema wapo hzo ni karama kama ualimu, kunena kwa lugha, uchungaji nk. Mafuta na maji hata jiwe hata kikombe hata ardhi vina nafsi ulimwengu wa roho ukiwa na iman ukivitamkia ktu vitafanya na itakuwa liwe jema au baya ajabu machawi na maganga yanajua siri hz na yanaztumia kutesa watu ardhi ya shamba lako inatamkiwa kutokuzaa na kamwe hata upande nn huvuni. Adam mwnyw hakulaaniwa yeye ila ardhi tu ilitamkiwa na MUNGU KHS ADAM NAYO IKASKIA. Mbwa mlioko humu toen povu sasa wengne machawi mnaona MUNGU ANAMTUMIA mwamposa anaharibu michoro yenu. MNAUMIA NGIRI NYIE.
Surezamani yesu aliwalisha watu 5000+ wenye njaa,
now days watu 5000+ wenye njaa wanamlisha mtu mmoja aliyeshiba
Dar huwezi kusikia wamekufa kama kule Moshi maana ni washambaHata dar wanakanyaga mafuta
Kufa sio ushamba kila nafsi itaonja mauti iwe ni kwa ushamba, uzembe au kishujaa ni swala la mda tu kamwe hakuna atakayeishi mileleDar huwezi kusikia wamekufa kama kule Moshi maana ni washamba
Mimi nipo ni mizimu yangu huku lingusenguse mkuu, dini zilizoletwa na mashua it's NO kwanguWewe nabii wa ukweli mbona umejifungia geto...acha unafiki na ujinga.
#MaendeleoHayanaChama
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Wanakufa kizembe maana washambaKufa sio ushamba kila nafsi itaonja mauti iwe ni kwa ushamba, uzembe au kishujaa ni swala la mda tu kamwe hakuna atakayeishi milele
[emoji16][emoji16]Wanaacha kufanya kazi wanaenda kujazana kwa Mwamposa. Sijui ujinga utawaisha lini[emoji3064]
Mbinga to songea nauli ni 10000/ sijala,sijalala, mwamposa sijampa sadaka, hiyo pesa bora nipeleke st huruma kwa mayatima niwanunulie biskuti wale wafrahi,Sa kwa nn na ww usingefika maana leo ijumaa ndio shughuli yenyewe. Ila za chini chini kazi anafanya usiku kucha kwa mkwanja mrefu cc wa mchana ni ads tu.
😅😆😄😃Lile kafara la Arusha limelipa.