Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Lofa ULIETUKUKA WEWE, kwahiyo nchi nzima hii mikutano ya dini wewe unaiona ikiwa SONGEA pekee? Pumbavu wahed!
 
Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]

Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
Si ndo kwenu uko
 
Hujanielewa mkuu Mimi siungi mkono waganga. But nimeeleza facts ya kwamba watu wa Songea wanapenda sana kuamini waganga nimeishi huko nafahamu
Nchi hii Imani za kiganga zipo karibia mikoa yote ujue.... Unapajua usukumani wewe?
 
Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]

Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
Usinge commet kwenye huu uzi, ningekupa BAN ya nguvu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…