Hii inakupa to what extent/degree Tanzanians have mental health problems.........................matatizo ya afya ya akili! wengi ni vichaa.Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Sio lazma uamini ww, akiamn mkeo inatoshaHii inakupa to what extent/degree Tanzanians have mental health problems.........................matatizo ya afya ya akili! wengi ni vichaa.
umeanza matusi, basi anaamini mama ykoSio lazma uamini ww, akiamn mkeo inatosha
Nawe ulikuwa na ukimwi?Wenye ukimw wamepona, kansa imeondoka,mavuno yameongezeka, karbu naww upate uponyaji.
Nawe ulikuwa na ukimwi?Wenye ukimw wamepona, kansa imeondoka,mavuno yameongezeka, karbu naww upate uponyaji.
Lofa mwenyewe na upumbavu wenu,Tz nzina inatambua hilo kuwa mpo wapumbavu msiojitambua,Lofa wewe, kwahiyo nchi nzima matamasha na seminar hazifanyiki isipokuwa huko Songea?
Unaongea ukiwa umegida komoni au muyakaya?
Wakina MWAKASEGE, GWAJIMA, NA WENGINEO WANAZUNGUKA NCHI NZIMA HUWAONI UMEMUONA MWAMPOSA SONGEA TH?
HUYU MWAMPOSA ANAZUNGUKIA MIKOA MINGAPI?
LOFA ULIETUKUKA WEWE
Huku baba yangu alikujaga enzi hizo kutumia fursa maana huku ni wajinga haswaaa,Si ndo kwenu uko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wajinga ndio waliwao[emoji16]Usinge commet kwenye huu huzuni, ningekupa BAN ya nguvu...
Tuwaache na biashara zaoHuo ni utumwa wa fikra, mchumia tumbo kawapata watu wake anawakamua haswa.
Ona huu msukule.Wenye ukimw wamepona, kansa imeondoka,mavuno yameongezeka, karbu naww upate uponyaji.
Atajua yeyeKwan umeambiwa anaombea kupata magar tu? Unazingua
Ona huu msukule.
...Wote Hawa wanaombewa na Kupata Wanachotakà??....
Na kweli, walofa malofa yamelundikana hukoLofa mwenyewe na upumbavu wenu,Tz nzina inatambua hilo kuwa mpo wapumbavu msiojitambua,
Mkoa wa ruvuma ni wapumbavu mtaishia hivyohivyo,
Wasanii nk washajua mkoa wa kupiga pesa ni Ruvuma,maana ni wajingaaaaa,
Unajaribu kufanya Kampeni za kuhamasisha biashara za matapeli wanaotumia dini kulaghai watu?....ndio maana Africa itabaki Maskini daima..The problem that requires Technology cannot be solved with Prayers and Miracles..Amka wewe mwafrika acha uzuzu.Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.