Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

huo unabii sijui anawapa Nani?.
Utasikia nabii,Mara mtume yaani mwamposa anakaa daraja Moja na yesu na muhammad?
Acheni mzaha
Lilian Mwasha naye kuna mahali nimeona wanamtaja ni Nabii
 
Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]

Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
Mgonile
 
Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]

Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
Wenye ukimw wamepona, kansa imeondoka,mavuno yameongezeka, karbu naww upate uponyaji.
 
wanaopenda kitonga ndio utakao wakuta hapo wasichojua nikwamba miujiza ilishaisha zamani sasahivi nikazikazi
Wagonjwa wanapenda kitonga? Watu wanaponywa ww unasema kitonga, njoo uone shuhuda, au huna mtu unamfaham aliyewah kukupa shuhuda?
 
Ila Songea wanapenda Sana mambo ya waganga. Akitokea mganga mmoja ambaye anasifika kwa kutibu marafhi yote basi huyo atapokewa na mamia ya watu. Sishangai na hayo mapokezi ya huyo Mtume. Imeandikwa watatokea wengi sana nyakati hizi na kutenda miujiza yao, si kwa ajili ya Mungu bali kwa kuwahadaa na kuwachanganya na mizimu ya mababu zao.
 
Yeah true nakumbuka enzi hizo kulikuwa na mganga mmoja mashuhuri alikuwa akiitwa Kalembwaba aliaminika sana
 
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Naomba tumegee kidogo sehemu ya ujumbe wake (mafundisho) ili nasi tumwelewe
 
Mke wa mwaposa kwa kumtetea mmeo hujambo inavyoonesha anakusquisssss sana unafika vizuri kule uendako
 
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Tapeli huyo na nabii wa uongo, acha awaibie nyie wavivu wa kufikiri.
 
Wanaacha kufanya kazi wanaenda kujazana kwa Mwamposa. Sijui ujinga utawaisha lini[emoji3064]
Walikuambia hawana kazi hao watu?
Wewe mfanyakazi Bora umevumbua nini na umeajiri wangapi???
Let them wear it who the cap fit!
 
Mbinga to songea nauli ni 10000/ sijala,sijalala, mwamposa sijampa sadaka, hiyo pesa bora nipeleke st huruma kwa mayatima niwanunulie biskuti wale wafrahi,

Ushajiuliza kwanini kwasasa matamasha mengi wanayaleta songea?! Mechi wakina simba/ Azam wanakuja Ku chezea songea japo uwanja ni mbovu???

Songea/ mbinga baadhi ya watu wa huku ni washamba,wajinga kupita kiasi,

Wacha wauze mahidi na maharage pesa wampelekee mwamposa
Lofa wewe, kwahiyo nchi nzima matamasha na seminar hazifanyiki isipokuwa huko Songea?
Unaongea ukiwa umegida komoni au muyakaya?
Wakina MWAKASEGE, GWAJIMA, NA WENGINEO WANAZUNGUKA NCHI NZIMA HUWAONI UMEMUONA MWAMPOSA SONGEA TH?
HUYU MWAMPOSA ANAZUNGUKIA MIKOA MINGAPI?
LOFA ULIETUKUKA WEWE
 
Back
Top Bottom