Lilian Mwasha naye kuna mahali nimeona wanamtaja ni Nabiihuo unabii sijui anawapa Nani?.
Utasikia nabii,Mara mtume yaani mwamposa anakaa daraja Moja na yesu na muhammad?
Acheni mzaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lilian Mwasha naye kuna mahali nimeona wanamtaja ni Nabiihuo unabii sijui anawapa Nani?.
Utasikia nabii,Mara mtume yaani mwamposa anakaa daraja Moja na yesu na muhammad?
Acheni mzaha
MgonileBest yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]
Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
Wenye ukimw wamepona, kansa imeondoka,mavuno yameongezeka, karbu naww upate uponyaji.Best yangu katoka mbinga jana kuelekea songea,kumuacha mume na watoto 3 binti wa kazi ana pray party[emoji16]
Kaniambia anaenda kukanyaga mafuta,itakuwa bado hajakanyaga maana bado hajarudi[emoji16]
Wagonjwa wanapenda kitonga? Watu wanaponywa ww unasema kitonga, njoo uone shuhuda, au huna mtu unamfaham aliyewah kukupa shuhuda?wanaopenda kitonga ndio utakao wakuta hapo wasichojua nikwamba miujiza ilishaisha zamani sasahivi nikazikazi
wagonjwa wanaenda hospitali sio huko kuanaakili mkuuWagonjwa wanapenda kitonga? Watu wanaponywa ww unasema kitonga, njoo uone shuhuda, au huna mtu unamfaham aliyewah kukupa shuhuda?
Yeah true nakumbuka enzi hizo kulikuwa na mganga mmoja mashuhuri alikuwa akiitwa Kalembwaba aliaminika sanaIla Songea wanapenda Sana mambo ya waganga. Akitokea mganga mmoja ambaye anasifika kwa kutibu marafhi yote basi huyo atapokewa na mamia ya watu. Sishangai na hayo mapokezi ya huyo Mtume. Imeandikwa watatokea wengi sana nyakati hizi na kutenda miujiza yao, si kwa ajili ya Mungu bali kwa kuwahadaa na kuwachanganya na mizimu ya mababu zao.
Naomba tumegee kidogo sehemu ya ujumbe wake (mafundisho) ili nasi tumweleweSiku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
[emoji23][emoji23]Ukweli mtupuzamani yesu aliwalisha watu 5000+ wenye njaa,
now days watu 5000+ wenye njaa wanamlisha mtu mmoja aliyeshiba
Mkuu hata kama ni picha ndio ulete ya wazungu
Fungua star tv ujionee nyomiiiii rais mwenyewe akasomeMkuu hata kama ni picha ndio ulete ya wazungu
Tapeli huyo na nabii wa uongo, acha awaibie nyie wavivu wa kufikiri.Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Walikuambia hawana kazi hao watu?Wanaacha kufanya kazi wanaenda kujazana kwa Mwamposa. Sijui ujinga utawaisha lini[emoji3064]
Lofa wewe, kwahiyo nchi nzima matamasha na seminar hazifanyiki isipokuwa huko Songea?Mbinga to songea nauli ni 10000/ sijala,sijalala, mwamposa sijampa sadaka, hiyo pesa bora nipeleke st huruma kwa mayatima niwanunulie biskuti wale wafrahi,
Ushajiuliza kwanini kwasasa matamasha mengi wanayaleta songea?! Mechi wakina simba/ Azam wanakuja Ku chezea songea japo uwanja ni mbovu???
Songea/ mbinga baadhi ya watu wa huku ni washamba,wajinga kupita kiasi,
Wacha wauze mahidi na maharage pesa wampelekee mwamposa
Unawalisha? Umeajiri wangapi mpaka Sasa kwa kutopenda kitonga kwako?wanaopenda kitonga ndio utakao wakuta hapo wasichojua nikwamba miujiza ilishaisha zamani sasahivi nikazikazi
Katoe na wewe kafara hata DODOMALile kafara la Arusha limelipa.