PreGE2025 Songea: Viongozi watatu CHADEMA, Mwimbaji nyimbo za chama na Wanachama wawili wakamatwa na Jeshi la Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wajifunze kwa mahita sasa hivi yuko wapi,
Na miongoni mwa taasisi zinazoishi maisha ya hovyo na magumu baada ya kustaafu ni hao hao.
Mzee malechela aliwahi kusema yeye sio katapila, alijitambua. Sasa wengine sio tu makatapila bali T= Shirt
Mahita ana shida gani uzee ht we utazeeka
 
Hayawani wazazi wako we mbwa koko, wahalifu lazima washughulikiwe, mnajificha kwenye mavazi ya chama? Mtajua hamjui intelejensia ya jeshi letu ni ya kupongezwa.
 
Nilichokimaanisha kwa mahita ni kwamba utafika wakati hizo kazi wataziacha, watakua wageni wa nani.
UKIAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO BABA
Sheria ziko wazi kwa jeshi kwamba unatakiwa kutii amri lkn iliyopo kisheria. sasa wewe baba ndio mtuhumiwa wa kosa la jinai, mke anachukuliwa wa nini? Ndio PGO mpya zinasema hivyo.
 
Kamishana Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, SACP Marco Chilya alipoulizwa amesema: “Nachojua tumeshikilia waalifu si wanachama. Nitafute baada ya saa mbili nitakuwa na ufafanuzi zaidi,

Ndiyo kisingizio kikubwa cha vyombo vya dola baada ya kutumwa na chama dola kongwe tawala CCM kuonea wapinzani.

TOKA MAKTABA :


View: https://m.youtube.com/watch?v=8QDIWdDSfCYKamishana Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, SACP Marco Chilya alipooneshwa kukerwa na No Reforms No Election akapiga marufuku isionekane wala maneno hayo kusikika mkoani Ruvuma
 
Huyo mwamba alipandishwa cheo na kuhamishwa. Sijui ana kadi ya ssm
Lazima awe nayo hao top wote wa polisi na jeshi ni makada wa jembe na nyundo ndio maana baadae huzawadiwa ubalozi , ujumbe wa bodi , ukuu wa wilaya au mkoa.
 

Attachments

  • 5811771-84b12f6d5ff81d807821a183416ac2ed.mp4
    648.4 KB
Eti tumeshikilia wahalifu,pumbavu kabisa huyo askari ,watu kuvaa sare za chama ni uhalifu?
 
Aiseee sasa kama wananchi wake wengi wanampenda si ndiyo wangeenda polisi kwa uwingi wao kumsaidia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…