PreGE2025 Songea: Viongozi watatu CHADEMA, Mwimbaji nyimbo za chama na Wanachama wawili wakamatwa na Jeshi la Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aiseee sasa kama wananchi wake wengi wanampenda si ndiyo wangeenda polisi kwa uwingi wao kumsaidia?
Unayo akili timamu. Watamsaidia vipi huko polisi?
Subiri wakati utakapofika utaona wananchi watakavyo amua kwenye mambo ya kipuuzi kama haya.
 
Policcm wanafanya kazi Kwa maelekezo toka juu.
 
 

Attachments

  • 6026540-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…