Yeah thats how they operate! Yani kanisa limeajiri chawa kwa ajili ya kupeleka maneno ya umbea wa waumini kwa mapadre, huku nilipo kuna jamaa alikua muumini mzuri tu na michango anatoa , ila alipata bahati mbaya ya kufiwa na mke wake , huku na kule akaamua kuvuta mke mpya wa kiislam , umbea ukafika kwa baba paroko, siku alipofariki kanisa halikujigusaMwaka Jana hapo hapo Songea Mjini Paroko kapewa maneno kuwa akagoma kumzika baba mdogo, akaja katekista kutoa huduma. Jioni baada ya kuzika Babu na Ndugu wakawa wameenda kupoza Koo wakakutana nae sehemu Moja nae anapoza koo, Babu ilibidi amwambie unachofanya sio sahihi usicheke hapa wakati unakuwa na visasi.
Angalia wasije wakakula jicho lako kabla hujaanza kuwachoma.Tutaanza kuchoma magaidi na wafuasi wao sasa
Labda tubadili mfumo wa Elimu kwanza.Ari na nguvu hii ikitumika kuiondoa CCM madarakani tutaweza.
Padri si mali yao. Kanisa ni mali yao.Kwanini wasimchome padri wakatuachia kanisa?wapumbavu
'Excommunication' siyo tatizo la Padre, ni tatizo la kanisa.Hao waumini huenda wana matatizo ya akili; kosa la padre kwanini uchome kanisa. Kesho watasali wapi? Kwa hiyo kesho wachangishane tena fedha kukarabati kanisa?
Kichwa cha binadamu kikishazidiwa na maswaibu hasa njaa ndio kinafanya maamuzi ya ajabu kama haya.wamekosea sana kuchoma nyumba ya ibada.
maana hiyo sio nyumba ya Padre.
Ni kosa kujichukulia sheria mkononi.
ni bora wangemtenga Padre kwa kususia kwenda kanisani badala ya kuchoma.
Wamajitafutia laana mana hakuna atakae pona,waulize kkkt dayosisi ya meru enzi ya mgogoro wao..walioenda kunya madhahabuni wote walikufaPadre alikataa kwenda kumzika muuamini (sababu bado haijajulikana), waumini wamezika baada ya kumaliza kuzika wakaenda Parokiani wakachoma kanisa kwa hasira.
View attachment 2016428
Kwahiyo shida ni kutokuwa tayari kwako kuwajibika!!?Unataka nithibitishe nini kwanza ?nikutajie jina langu , parokia nilipo na hadi jumuiya yangu, na michango ninayodaiwa ? Au we ni padre mkuu!! , Uandishi wako una reflect mtu mwenye ku support, hizo sheria za kibabe za Rc. Na kwa michango ninayodaiwa si rahisi kuzikwa na padri!! Haha , but i dont even care
Ujinga huu unapaswa kukomeshwa na ndio chanzo cha kanisa kugawanjika na kuzaliwa Protestant.▪︎ Mnajua sababu zilizofanya Padri akatae kwenda kuzika?
▪︎ Mnafikiri huyu ni wa kwanza kukataliwa mazishi ya Kikristu?
▪︎ Mnafahamu sababu au vigezo vya kumkqtalia mtu mazishi?
▪︎ Je, mna uhakika mhusika alitimiza vigezo na hivyo kustahili maziko ya Kikanisa?
Kikubwa mkuu ishike ile amri ya mapendo.......Unataka nithibitishe nini kwanza ?nikutajie jina langu , parokia nilipo na hadi jumuiya yangu, na michango ninayodaiwa ? Au we ni padre mkuu!! , Uandishi wako una reflect mtu mwenye ku support, hizo sheria za kibabe za Rc. Na kwa michango ninayodaiwa si rahisi kuzikwa na padri!! Haha , but i dont even care
Msingi wa Ukristo ni Biblia na siyo mawazo ya watu, tena watu wajinga kabisa.Kwahiyo shida ni kutokuwa tayari kwako kuwajibika!!?
Ili uzikwe Kikatoliki kuna vigezo na masharti ya kuzingatia. Unaposhindwa it means haustahili.
Kama ambavyo wao hawakulazimishi kufuata sheria zao, na wewe usiwalazimishe wakuzike.
Kila mmoja ashinde mechi zake.
Haulazimishwi kuwa Mkatoliki, na unaruhusiwa kuondoka muda wowote unapoona imani yako haifungamani na imani yetu.Ujinga huu unapaswa kukomeshwa na ndio chanzo cha kanisa kugawanjika na kuzaliwa Protestant.
Hata Dr Luther alijiondowa Vaticano kwa mambo ya kipumbavu kama haya uliyoandika wewe.
Waislamu hawana upumbavu kama huu ulioandika, anayekufa astiriwe.
Hivi unajuwa pesa za utapeli wa Escrow zilipitia kanisani Mkombozi bank?Wamajitafutia laana mana hakuna atakae pona,waulize kkkt dayosisi ya meru enzi ya mgogoro wao..walioenda kunya madhahabuni wote walikufa
Msingi wa Ukristo ni Kristu.Msingi wa Ukristo ni Biblia na siyo mawazo ya watu, tena watu wajinga kabisa.
Amri kuu aliyotuachia Kristo ni amri ya upendo.
Huwezi kufanya mambo ya kihuni kama haya kwa kisingizio chochote kile.
Marehemu alionyesha upendo?Msingi wa Ukristo ni Biblia na siyo mawazo ya watu, tena watu wajinga kabisa.
Amri kuu aliyotuachia Kristo ni amri ya upendo.
Huwezi kufanya mambo ya kihuni kama haya kwa kisingizio chochote kile.