Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

▪︎ Mnajua sababu zilizofanya Padri akatae kwenda kuzika?

▪︎ Mnafikiri huyu ni wa kwanza kukataliwa mazishi ya Kikristu?

▪︎ Mnafahamu sababu au vigezo vya kumkqtalia mtu mazishi?

▪︎ Je, mna uhakika mhusika alitimiza vigezo na hivyo kustahili maziko ya Kikanisa?
 
Mapadre wa siku hizi ni mabingwa wa nyodo na lugha za kuudhi kwa waumini wao.

Wangemchoma Padre mwenyewe kuweka kumbukumbu sawa.

Si ajabu aliwaambia," Kafukieni tu huo mzoga wenu".
Ivo ivo!!! Tuliwahu kujibiwa nyodo na padri mmoja tulipokwenda kuomba misa ya kumzika jirani yetu, na ni hapa hapa mjini daslam! , Hakuishia hapo alipiga marufuku yoyote kuongoza misa hiyo, akapiga marufuku hadi viongozi wa jumuiya kujishugulisha na msiba huo , yani viti meza , vyombo vya jumuia vilioigwa marufuku kutumika kwemye msiba huo kwa maelekezo kutoka kanisani , then wakawekwa mamluki msibani kuhakikisha maelekezo hayo yanatekelezwa na mtua anayeyakiuka!!

Jirani ilibidi azikwe na misa ya kilokole.
 
▪︎ Mnajua sababu zilizofanya Padri akatae kwenda kuzika?

▪︎ Mnafikiri huyu ni wa kwanza kukataliwa mazishi ya Kikristu?

▪︎ Mnafahamu sababu au vigezo vya kumkqtalia mtu mazishi?

▪︎ Je, mna uhakika mhusika alitimiza vigezo na hivyo kustahili maziko ya Kikanisa?
Sababu kuu ni pesa!! Kanisa limekuwa na muelekeo wa kipesa zaidi kuliko ibada . Kuna michango mingi sana na mingine imehamishiwa kwenye jumuiya kwa lengo la easy monitoring.

Mfumo huu unachagua sana watu , watu wenye influence wanazikwa hadi na maaskofu hata kama walikuwa hawakanyagi kanisani, nina mifano kadhaa kwa hilo ,

On a serious note, swala la
Kutimiza au kutotimiza masharti ya kanisa mtoa hukumu ni mwenyezi Mungu , sio padri au die hard pilgrims, Rc mmejipa majukumu ya kimungu kwa watu wanoondoka hapa duniani.
 
Sababu kuu ni pesa!! Kanisa limekuwa na muelekeo wa kipesa zaidi kuliko ibada .

Mfumo huu unachagua sana watu , watu wenye influence wanazikwa hadi na maaskofu hata kama walikuwa hawakanyagi kanisani, nina mifano kadhaa kwa hilo ,
Thibitisha.
 
Aseee mleta mada hapo ni Kama Mpitimbi kwa mandhari ya kanisa

Hebu tueleze ni eneo gani Hilo?
Father wa Mpitimbi mkuda kweli, Mwaka Jana nilikuwa nafika Sana pale Usiku mnashinda mnapiga nae vyombo kuna Grocery ipo karibu na Kanisa la Walokole. Sasa akimuona muumini wake anaenda maombi kanisa la Walokole anamind na kuwapiga mkwara kuwatenga.
 
ROMAN Catholic, KKKT,Anglican, Moravian Na Mengine
Kuna Migogoro Viongozi Wakae Na Waumini Wao
Kuondoa Changamoto Za Aina Hiyo Ili Dini Istawi Vema
 
Umekosa hoja !! Kama wewe ni mtu wa Rc hiki nilichoandika huwezi kukikosoa , muulize hata jirani yako hapo wa Roman Catholic atakueleza mlolongo wa michango makanisani hadi jumuiya.
Huu ndio uthibitisho?
 
Huu ndio uthibitisho?
Unataka nithibitishe nini kwanza ?nikutajie jina langu , parokia nilipo na hadi jumuiya yangu, na michango ninayodaiwa ? Au we ni padre mkuu!! , Uandishi wako una reflect mtu mwenye ku support, hizo sheria za kibabe za Rc. Na kwa michango ninayodaiwa si rahisi kuzikwa na padri!! Haha , but i dont even care
 
Dah ila sisi wakristo tuna vitu vya ajabu sana japo Padre kakosea lakini Kanisa ni nyumba ya ibada sio mali ya padre wao wangemshughulikia tu Padre kama Padre maana hapa naona michango ya kukarabati kanisa Jumapili ijayo lazima ianze.
Kama waliweza nunua vya kwanza (vilivyochomwa sasa) wataweza tu nunua vingine kama kutakuwa na ulazima. Kimsingi, wamechoma mali yao wenyewe
 
Sababu kuu ni pesa!! Kanisa limekuwa na muelekeo wa kipesa zaidi kuliko ibada . Kuna michango mingi sana na mingine imehamishiwa kwenye jumuiya kwa lengo la easy monitoring.

Mfumo huu unachagua sana watu , watu wenye influence wanazikwa hadi na maaskofu hata kama walikuwa hawakanyagi kanisani, nina mifano kadhaa kwa hilo ,

On a serious note, swala la
Kutimiza au kutotimiza masharti ya kanisa mtoa hukumu ni mwenyezi Mungu , sio padri au die hard pilgrims, Rc mmejipa majukumu ya kimungu kwa watu wanoondoka hapa duniani.
Unatia chumvi mara nyingi ibada za maziko huendeshwa na mapadri sio maaskofu.
 
Unataka nithibitishe nini kwanza ?nikutajie jina langu , parokia nilipo na hadi jumuiya yangu, na michango ninayodaiwa ? Au we ni padre mkuu!! , Uandishi wako una reflect mtu mwenye ku support, hizo sheria za kibabe za Rc. Na kwa michango ninayodaiwa si rahisi kuzikwa na padri!! Haha , but i dont even care
Mwaka Jana hapo hapo Songea Mjini Paroko kapewa maneno kuwa akagoma kumzika baba mdogo, akaja katekista kutoa huduma. Jioni baada ya kuzika Babu na Ndugu wakawa wameenda kupoza Koo wakakutana nae sehemu Moja nae anapoza koo, Babu ilibidi amwambie unachofanya sio sahihi usicheke hapa wakati unakuwa na visasi.
 
Padre alikataa kwenda kumzika muuamini (sababu bado haijajulikana), waumini wamezika baada ya kumaliza kuzika wakaenda Parokiani wakachoma kanisa kwa hasira.

View attachment 2016428
Waislamu ndo wangekua wamechoma hiyo kanisa bunge na vyombo vya habari vyote vingekua vimehamia songea......na wange wasaka nawale ambao hawahusiki na kubambikiwa kesi ya ugaidi...loh
 
RC wanajali sana sheria za Kanisa kuliko amri za Mungu...yaani wewe vunja amri zote za Mungu hakuna shida ila ukishindwa kufuata sheria za kanisa utakiona.
 
Back
Top Bottom