Songwe: Baba amchoma mtoto wa miezi sita akidai amesingiziwa

Songwe: Baba amchoma mtoto wa miezi sita akidai amesingiziwa

Hakuna cha mapepe, tueleze nini kimekufurahisha kiasi hicho? Au wewe ni taahira? Huna akili?
Una mapepe furaha na huzuni yangu juu ya hili inakuhusu nini ? au inaathari gani za moja kwa moja kwenye maisha yako binafsi???
acha makasiriko Mjomba yani watu wasicheke [emoji23] ushageuka Joyce kiria
 
Sema nini Joyce kiria mi sikupingi.
Kama ilivyo ada na utaratibu wangu wa miaka 9 niliyokuwa hapa JF, mataahira wote huwa nawatupa kwenye kapu langu la Block, sitaona utaahira wowote utakaopost baada ya post hii.
 
Mtoto ana kosa gani sasa,kwanini asingeadhibiwa mwanamke?
 
Back
Top Bottom