jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Si mnataka Watoto wenu wasome English medium schools,na Wanaume wengi wenye uwezo wa kutia Mimba hawana uwezo wakusomesha huko kwa English medium schools! Kazi mnayo wamama,ni kusuka au kunyowa!!Dah,hakika inasikitisha Sana...nikivaa viatu vya huyu mama eti nenda ndani nimemchoma mtoto,uwiiiiiiiiii nahisi Mimi nitatangulia kaburini..
Na sie wadada tuache kupakazia watoto jamani,tuwape tu baba zao no matter Hali zao za kiuchumi inaleta hata ujasiri kudai matumizi ya mtoto unapojua Huyu Ni baba yake kweli.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app