Si mnataka Watoto wenu wasome English medium schools,na Wanaume wengi wenye uwezo wa kutia Mimba hawana uwezo wakusomesha huko kwa English medium schools! Kazi mnayo wamama,ni kusuka au kunyowa!!Dah,hakika inasikitisha Sana...nikivaa viatu vya huyu mama eti nenda ndani nimemchoma mtoto,uwiiiiiiiiii nahisi Mimi nitatangulia kaburini..
Na sie wadada tuache kupakazia watoto jamani,tuwape tu baba zao no matter Hali zao za kiuchumi inaleta hata ujasiri kudai matumizi ya mtoto unapojua Huyu Ni baba yake kweli.
Mara nyingi huwa unajidhihirisha ukomo wako wa fikra.Kila ukaapo,unaiwaza CDM!Kichwapanzi kabisa!Akili za kichadema ni janga
Dah!..amuue tena?....uhai wa mtu/mtoto una thamani kubwa sana mkuu, lazima ulindwe.Bora angemuua huyo mtoto kama anahisi sio wake kuliko kumchoma moto
Kwa hiyo siyo wa kugombana naye.Ni wa kukaa naye na kumnywesha dawa kwa upendo!ππππHuyo jamaa ana matatizo ya akili.
...Afanyiwe vipimo vya akili Kwanza...Kwa hiyo siyo wa kugombana naye.Ni wa kukaa naye na kumnywesha dawa kwa upendo!ππππ
Si mnataka Watoto wenu wasome English medium schools,na Wanaume wengi wenye uwezo wa kutia Mimba hawana uwezo wakusomesha huko kwa English medium schools! Kazi mnayo wamama,ni kusuka au kunyowa!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Msamehe bure mkuu. Anadhani walivyo na akili za kuchoma masoko ndivyo kila mtanzania anaishi.Hapo umeandika ukiwa umesimama au umepakatwa?obviously umepakatwa!!!
Maana content ya uzi inasema mtoto aunguzwa wewe unakuja na maneno yako chadema ni janga upo sawa kichwani???
Mbona walikufa kitaaamboAkili za kichadema ni janga
Kosa lake hajafanana na baba yakeOhhh dear Lord[emoji17]
Kwani mtoto yeye anakosa gani?
Giwe gizani hilo,limekupata pole sana!!We nae unaongea Kama umekatwa kichwa.