Songwe: Basi la Kampuni ya Kilimanjaro Express lapata ajali, watu wanne wafariki dunia

Sio luxury bus wewe, kuitwa luxury ni tofauti na luxury
Njia ya Dar-mbeya-tunduma - swax hakuna luxury bus hata moja
Sio sauli, New force/Golden deer, Imani plus, tanzanite wala Hao kilimanjaro
Wote ni ordinary bus to semi luxury
Mara Ordinary mara Semi Luxury mbona hueleweki bwashee?
 
Survivors in this accident inabidi mtoe Shukrani ya Pekee kwenye makanisa yenu. It's hard to believe there are survivors.
Huyu dreva inabidi asipewe tena driving licence, he is mad
 
Mtu umezoea kuendesha gari dsm unakuja kumpa lawama dereva wa mkoa mnajua wanakutana na mangp jaribu hata ww kuendesha gari dar to moro utaona kama ni simple ivyo
 
Hiyo picha ya naona kama Kuna wahuni wameingilia hili tukio Kwa manufaa Yao binafsi, RIP marehemu wote
 
Halafu dereva kama huyo kaua watu kizembe
Halafu anaachiwa mtaani aendelee kuja kuua wengine!

Hivi Kwanini hatuwi seriously kwenye mambo ya msingi yanayohusu Uzima na maisha ya binadamu?
 
Kusema dereva afutiwe leseni haitoshi kuwa adhabu kali hiyo.

Mtu ameua na kusababishia ulemavu wa kudumu wenzie halafu adhabu iwe kufutiwa leseni tu ?

Hapana, haitoshi.
 
Halafu madereva wengine wataendelea
Kuendesha magari kizembe barabarani wakijua hata likitokea la ajali hawatachukuliwa
Adhabu kali.

Eti kufutiwa leseni [emoji848][emoji848]

Futa maisha yataendelea vizuri tu pengine zaidi ya alivyokuwa dereva.

Kwani kazi ni udereva tu? Lakini anakuwa ameshaharibu maisha ya wengine halafu yeye aendelee kula maisha mema mtaani?! Hapana
 
Ndugu sibado mahakama Jpo sheria za usalama barabaran adhabu yake si kubwa hTa ukiiuwa mamia
 
Nyanda za juu kusini aina zao za usafiri zinashangaza sana.
Ruti ndefu nyingi hapa Tz hazina gari luxury kama ilivyo ruti fupi fupi za dar - Dom au Dar - Arusha Dar - Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…