Firdaus9
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 1,196
- 2,797
Ni kweli na sijui wanajuaje kama mgonjwa hawez kuponaWanalaumiwa tu hawa waombaji badala ya watu kuhoji mazingira ya maombi hayo.
Moja huyu dada amerudi nyumbani baada ya matibabu kushindikana huko alikokuwepo.
Pili Hospitali nyingi siku hizi huruhusu wagonjwa kurudi makwao huku wakijua mgonjwa hana tena siku za kuishi.
Tatu huduma za matibabu ni kubwa kiasi cha kufanya watanzania wengi kutokuzimudu.
Nne na linaloweza kuwa kubwa kwa wanafamilia huenda walimpenda sana ndugu yao kiasi kwamba baada ya kuona kuwa kafa hawakuanini kirahisi jambo lililopelekea wajaribu karata ya mwisho ya imani kwa kuomba Mungu wao aingilie kati .
Tusikimbile kulaumu jamani kuna watu wanapitia magumu yasiyomithilika kutamkwa.
Tupendane!!
Ndugu yngu alilazwa hospital akaruhusiwa amekaa nyumbani siku 5 amefariki jana tumemaliza msiba