Songwe: Mchungaji akamatwa kwa kumuombea mtoto wake hadi kufariki

Ni kweli na sijui wanajuaje kama mgonjwa hawez kupona
Ndugu yngu alilazwa hospital akaruhusiwa amekaa nyumbani siku 5 amefariki jana tumemaliza msiba
 
Maombi yanapaswa kwenda sambamba na matibabu, huyo mgonjwa wangempeleka hospitalini kupata matibabu huku wakiendelea na maombi yao
Ni kweli kabisa, "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa". Mpeleke mgonjwa haspitali, achunguzwe na kupata dawa, hapo ndipo tunamuombea mgonjwa ili dawa zifanye kazi mwilini mwake. Ikumbukwe, hizi dawa zimetokana na mimea (hata madini) iliyoumbwa na Mungu.
 
Wakina mwakipesile watu wakipee sana kwenye swala la imani
Wamekua wajinga pro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…