Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo cha Polisi Kati Dar Es Salaam na Vwawa Songwe.
Mdude Nyagali alikamatwa na Jeshi la Polisi Novemba 22.2024 akidaiwa kuhusika na makosa ya kusambaza taarifa za uongo mitandaoni, kutoa lugha za matusi na kujeruhi.
Pia, Soma:
+ Mdude amburuza kortini RPC Songwe, Mwabukusi kumuwakilisha katika kesi hiyo
+ Kesi ya Mdude Nyagali dhidi ya RPC wa Songwe imeahirishwa, kusikilizwa tena Novemba 28 na Jaji Pomo
+ Mdude Nyagali aendelea kusota Rumande, Kesi yake dhidi ya RPC wa Songwe kusomwa Jumatatu
+ Mdude Nyagali aangukia pua Mahakama Kuu, kesi yake yatupwa