Songwe: Mdude Nyagali aachiwa kwa dhamana na Mahakama leo baada ya kusota siku 15 Mahabusu

Songwe: Mdude Nyagali aachiwa kwa dhamana na Mahakama leo baada ya kusota siku 15 Mahabusu

Serikali dhalimu
HAKUNA KIONGOZI ANAWEZA KUVUMILIA KEJELI ZA KITOTO ZA MDUDE HIVI MBONA WANASIASA WENYE AKILI K AMA KINA MBOWE HAWAKAMATWI KAMATWI KIZEMBE KAMA HUYU DUDE? ANAJIFANYA ANAJUWA SANA MATUSI WAKATI HAJUI LOLOTE ANAJITESA TU HUYO
 
Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo cha Polisi Kati Dar Es Salaam na Vwawa Songwe.

Mdude Nyagali alikamatwa na Jeshi la Polisi Novemba 22.2024 akidaiwa kuhusika na makosa ya kusambaza taarifa za uongo mitandaoni, kutoa lugha za matusi na kujeruhi.
Pia, Soma:
+
Mdude amburuza kortini RPC Songwe, Mwabukusi kumuwakilisha katika kesi hiyo
+ Kesi ya Mdude Nyagali dhidi ya RPC wa Songwe imeahirishwa, kusikilizwa tena Novemba 28 na Jaji Pomo
+ Mdude Nyagali aendelea kusota Rumande, Kesi yake dhidi ya RPC wa Songwe kusomwa Jumatatu
+ Mdude Nyagali aangukia pua Mahakama Kuu, kesi yake yatupwa
Tehetehe.....
 
HAO WAPO AKITOKA AKIKAMATWA HUONI HATA MMOJA ANAMTETEA WANAKUJA HUKU JF KUANDIKA TU LAKINI MWENZAO ANANYEA NDOO JELA AKITOKA UTAWAONA WANAPIGA PICHA
Hapo si Mahakamani? Unataka kuwaona wapi wakimtetea kama sio Mahakamani?

Amandla...
 
Mungu pekee anaweza kufanya lolote. Bali sio kama waenda zao kama Magufuli, Risasi 16 mtu hakufa,yeye malaria tu chali hadi Chato.
ILI TU AJUWE KWAMBA WANAUWEZO WA KUMFANYA LOLOTE NA HANA MSAADA WA MTU YOYOTE YUPO PEKEYAKE
 
Mbona Mzee Warioba anavumilia matusi ya mbumbumbu waliotumwa kumjibu ili asikosoe kuhusu uchaguzi?
 
Bwana Mdude nikupe pole kwa haya yote majanga.
Wenzako wanafanya harakati wakijua lolote likiwapata watapata back up ya chama.
Sijawahi kusikia amekamatwa jamaa huwa anajiita MMM Mtikila.
Mdude jiongeze kupitia harakati zako imetosha sasa unaowapigania hata hawakuelewi.
Watanzania tuna hulka ya ubinafsi na unafiki mno,watu wanakujaza kichwa kinajaa
ukikamatwa unatabika na kuteswa peke yako.
 
hajui wa tz walivyo unapotea unasahaulika familia yenyewe inakuona mjinga tu unamtetea nani sijui?
 
Bwana Mdude nikupe pole kwa haya yote majanga.
Wenzako wanafanya harakati wakijua lolote likiwapata watapata back up ya chama.
Sijawahi kusikia amekamatwa jamaa huwa anajiita MMM Mtikila.
Mdude jiongeze kupitia harakati zako imetosha sasa unaowapigania hata hawakuelewi.
Watanzania tuna hulka ya ubinafsi na unafiki mno,watu wanakujaza kichwa kinajaa
ukikamatwa unatabika na kuteswa peke yako.
Kwani Mandela alifungwa gerezani na weusi wote?
 
Back
Top Bottom