Songwe: Mdude Nyagali aachiwa kwa dhamana na Mahakama leo baada ya kusota siku 15 Mahabusu

Songwe: Mdude Nyagali aachiwa kwa dhamana na Mahakama leo baada ya kusota siku 15 Mahabusu

HAO WAPO AKITOKA AKIKAMATWA HUONI HATA MMOJA ANAMTETEA WANAKUJA HUKU JF KUANDIKA TU LAKINI MWENZAO ANANYEA NDOO JELA AKITOKA UTAWAONA WANAPIGA PICHA
Mandela alikaa jela na weusi wote?
 
HAKUNA KIONGOZI ANAWEZA KUVUMILIA KEJELI ZA KITOTO ZA MDUDE HIVI MBONA WANASIASA WENYE AKILI K AMA KINA MBOWE HAWAKAMATWI KAMATWI KIZEMBE KAMA HUYU DUDE? ANAJIFANYA ANAJUWA SANA MATUSI WAKATI HAJUI LOLOTE ANAJITESA TU HUYO
Tukueleweje, unasema huyo kiongozi wala hamjui, ila unasema hawezi kuvumillia kejeli zake.
 
Bwana Mdude nikupe pole kwa haya yote majanga.
Wenzako wanafanya harakati wakijua lolote likiwapata watapata back up ya chama.
Sijawahi kusikia amekamatwa jamaa huwa anajiita MMM Mtikila.
Mdude jiongeze kupitia harakati zako imetosha sasa unaowapigania hata hawakuelewi.
Watanzania tuna hulka ya ubinafsi na unafiki mno,watu wanakujaza kichwa kinajaa
ukikamatwa unatabika na kuteswa peke yako.
Atapata shukrani kwa mwenyezi Mungu. Tanzania ikiwa MDUDE hata 100 itakuwa safi sana.
 
Kwani Mandela alifungwa gerezani na weusi

Kwani Mandela alifungwa gerezani na weusi

Kwani Mandela alifungwa gerezani na weusi wote?
Umekosea mno kumlinganisha Mandela na Mdude.
CHADEMA haiwezi kuchukua nchi Kwa kuwategemea watu kama Mdude.
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli mkubali kuna sehemu CDM imepwaya.
Mbowe na wenzie wapo kimya wamepoa huoni kama wapo sirias kuiondoa madarakani CCM.
Fanyeni tafiti za kutosha ili mjue mnakubakika na makundi yepi.
Pia watu wenye uwezo na ushawishi wapewe nafasi kukiongoza chama chenu.
Watu wameichoka CCM lkn CHADEMA nayo imekosa mwelekeo.
Kwa nini wasomi na vijana wa vyuo vikuu hawataki kujihusisha na siasa zenu? hayo ndo mambo ilitakiwa myafanyie kazi
Vinginevyo tunadanganyana tu humu.
 
Achana na hizi lugha za bendera fuata upepo sijui hamtaki kuambiwa ukweli. Ni wapi huo unaouita ukweli nimekuzuia kuusema? Niliyempa jibu kuhusu Mdude kanielewa, ni wapi nimesema tunategemea kuchukua nchi kwa kumtegemea Mdude? Anzisha chama kichukue nchi mkuu, maana ccm imechokwa na cdm haitaki kuambiwa ukweli.
 
Kukaa na mdude ndani ati kumkomoa ni kama kumuongezea airtime - 15 days jamaa katamba sana mitandaoni.
Tunasubiri press yake!!
 
Angefungwa tu heshima imjae
Malaya wa
ILI TU AJUWE KWAMBA WANAUWEZO WA KUMFANYA LOLOTE NA HANA MSAADA WA MTU YOYOTE YUPO PEKEYAKE
Iko hivi haraka haraka tu wewe ni miongoni mwa watesi !

Ukumbuke laana Ina mtindo wa kukufuata hata kizazi chako cha nne

UPUMBAVU WA MUNGU NI ZAIDI YA HEKIMA YA MWANADAMU"
 
Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo cha Polisi Kati Dar Es Salaam na Vwawa Songwe.

Mdude Nyagali alikamatwa na Jeshi la Polisi Novemba 22.2024 akidaiwa kuhusika na makosa ya kusambaza taarifa za uongo mitandaoni, kutoa lugha za matusi na kujeruhi.
Pia, Soma:
+
Mdude amburuza kortini RPC Songwe, Mwabukusi kumuwakilisha katika kesi hiyo
+ Kesi ya Mdude Nyagali dhidi ya RPC wa Songwe imeahirishwa, kusikilizwa tena Novemba 28 na Jaji Pomo
+ Mdude Nyagali aendelea kusota Rumande, Kesi yake dhidi ya RPC wa Songwe kusomwa Jumatatu
+ Mdude Nyagali aangukia pua Mahakama Kuu, kesi yake yatupwa
Najiuliza, walikamatwa watu wakubwa pamoja naye. Lakini akaachwa asote peke yake
 
ANAJITESA PASIPO SABABU HUWEZI KUSHINDANA NA SERIKALI UKIWA PEKEYAKO UKATOBO UNAJITESA TU
Nabii eliya aliambiwa na Mungu nimekubakizia manabii 70,000 wasiyo msujudia Bahali, waweza kudhani umebaki peke yako kumbe kuna maelfu ya watu uwaoni lakini wapo. Sidhani kama yupo peke yake lakini yeye yupo mbele kama, Musa.
 
Back
Top Bottom