Hesabu iko wazi kabisa mkuu, hawa wanaosema atatumikia miaka 4 au 3 wamefanya hesabu gani? Labda watupigie hesabu ya wazi kama ulivyoonyesha hapa ili tuelewe.3*40=120 yrs plus 4*20=80
120+80=200
Miaka 3 makosa 40
Miaka 4 makosa 20
Kitu ambacho kitakushangaza ni pale akili yako itakapokutuma kuwa amekiri kwa bahati mbaya, la hasha. Kwa vyovyote vile amekiri kitarajia kuhukumiwa kifungo au faini. Hivo ni suala la muda tu hiyo milioni 30 atailipa na atakuwa yuko huruNadhani alishindwa tu kusema kifungo cha maisha, pia jamaa sijui alikuwa anafikiria nini kashitakiwa leo na kukubali makosa kirahisi na hukumu yake nzito 200yrsššš
Sio million 30 tu. Ili atoke anatakiwa kulipa million 82. (52+30)Kitu ambacho kitakushangaza ni pale akili yako itakapokutuma kuwa amekiri kwa bahati mbaya, la hasha. Kwa vyovyote vile amekiri kitarajia kuhukumiwa kifungo au faini. Hivo ni suala la muda tu hiyo milioni 30 atailipa na atakuwa yuko huru
Adhabu zinakwenda sambamba atafungwa miaka minne tu.Kama Kuna dili mbona adhabu ni kali?
Hivyo vifungo vinakwenda sambamba atavitumikia kwa pamoja kwa hiyo kikubwa Sana ni miaka 4 ambapo practicaly jamaa atakaa jela miaka kama 3 hiviKama Kuna dili mbona adhabu ni kali?
Hakimu huyo pia alimwamuru Mshtakiwa alipe faini ya Tshs.1,000,000/= au kwend jela miaka minne(4) kwa kila kosa la wizi kwa Mtumishi wa Umma ,ambapo kulikuwa na jumla ya makosa ishirini(20).Pamoja na kulipa faini hizo,Mahakama ilimwamuru Mshtakiwa ajereshe katika halmashauri husika fedha alizoiba kiasi cha Tshs.30,850,000/=.Mshtakiwa alishindwa kulipa fedha.Sio million 30 tu. Ili atoke anatakiwa kulipa million 82. (52+30)
Kwa sheria ipi au ushahidi upi unao simamia?Jamaa atakaa miaka chini ya minne tu jela, miaka ambayo pia au hata na zaidi angekaa Mahabusu kuruhusu upelelezi kukamilika
Hii taarifa nimesikia kwenye taarifa ya habari asubuhi. Hakimu hakutamka miaka 4 ni 200. Kesi nyingine hakimu anasema wazi adhabu zinaenda pamoja. Wewe unaaminj kosa ambalo faini yake mill. 52 kifungo chake miaka 4.Kama unakumbuka kesi yoyote ya nyuma kumbushia. Na Kama ni rahisi hivyo akina Rugemalila wagekiri makosa yao,maana kesi zote uhujumu uchumi.Adhabu zinakwenda sambamba atafungwa miaka minne tu.
Hapa anamaanisha hata kama atatumikia miaka hiyo au atalipa faini hiyo mill 52, hizo mill.30 lazima alipe kwani alizidraw acc. ya halmashauri. Ina maana kama hana ni kukamata mali yake hata akiwa ndani.Hakimu huyo pia alimwamuru Mshtakiwa alipe faini ya Tshs.1,000,000/= au kwend jela miaka minne(4) kwa kila kosa la wizi kwa Mtumishi wa Umma ,ambapo kulikuwa na jumla ya makosa ishirini(20).Pamoja na kulipa faini hizo,Mahakama ilimwamuru Mshtakiwa ajereshe katika halmashauri husika fedha alizoiba kiasi cha Tshs.30,850,000/=.Mshtakiwa alishindwa kulipa fedha.
Kuna tungo tata hapa kutoka kwa ripota
Ahsante kwa masahihisho mkuu,Parole ni1/3 mkuu
N chawa Kama wote uyu mupe uyu murukešIla naamini hakuwahi kupiga huo mshindo kwa mkupuo.....
Ndio Tanzania hii Nchi ya Viongozi wa Ajabu kupata kutokeaAkina kingwangala walipiga mamilioni na hawajafungwa ila huyu katiba milioni 30 kafungwa miaka 200
Hakuna kifungo cha miaka kinachozidi miaka 30 ktk sheria za Tz labda angekuwa ameua au kubaka , unaweza kuta huyo hakai zaidi ya miaka minne jela makosa yote atatumikia kwa pamojaDuh!miaka 200!!! umri wa kuishi binaaadamu umeshuka miaka 60, sasa miaka 200 ndio nini tena hicho? aise
Kesi hiyo ya Uhujumu Uchumi namba 01 ya mwaka 2021, ilitolewa jana Mei 7, 2021, na TAKUKURU mkoa wa Songwe mbele ya Hakimu Mkazi wa wilaya hiyo Vitalis Changwe, ambapo mshtakiwa alikuwa akikabiliwa na makosa 60 ambayo ndani yake kuna makosa ya kutumia nyaraka za uongo pamoja na wizi kwa mtumishi wa umma.Semeni Gwewa Mswima, akipanda gari la polisi baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 200