Songwe: Miaka 200 jela au faini Tsh Milioni 52 kwa makosa 60 ikiwemo kughushi nyaraka

Kesi imefinguliwa Leo tarehe 7/05/2021 na hukumu imetolewa leo leo. Mashauri yote mahakamani yakiendeshwa hivi malalamiko yatapungua Sana.

Hahaaha mkuu ukiona shauri limepelekwa namna hii Mahakamani ujue hapo kuna deal kati ya hakimu na mshtakiwa.
Hapo kuna deal limechezwa hiyo hukumu inaulakini .
Any way hakimu atakwambia yeye anatafsiri sheria
 
Sasa kuna binada anayefikisha miaka 200?.
si Bora angemwambia nakufunga kifungo cha maisha
Ndiyo nauliza kwani umesikia adhabu ya hivi Tz peke yake?

Mfano sheria inasema kosa la kuiba kitenge ni kifungo cha mwaka mmoja na wewe umeiba vitenge 200 (means makosa 200) na umekiri unataka hukumu itamkaje?

Unajua kama hukumu ikitamka tofauti kunatoa loophole huyu mtu kukata rufaa na kushinda kesi? Simply kwakua umeamua kurahisisha kwa kutoa hukumu ya maisha kwavile binadamu hafikishi miaka 200?

Na yote hayo ni kwavile umefuata ushauri wa posts za jf?
 
Kwa hiyo kwa ujumla anaenda jela miaka 7? Ninavyojua licha ya wingi wa makosa, unapotumikia kifungo, basi miaka inaenda pamoja (nikimaanisha sio anatulinda miaka 3 ya kosa la kwanza, halafu inafuata 3 ya kosa la pili. No kutatu ya makosa yote 40 na minne ya makosa yote 20)
 
liyumba yule bosi wa bot wa majengo Pacha alifungwa miaka mingapi?
Ndiyo nauliza kwani umesikia adhabu ya hivi Tz peke yake?

Mfano sheria inasema kosa la kuiba kitenge ni kifungo cha mwaka mmoja na wewe umeiba vitenge 200 (means makosa 200) na umekiri unataka hukumu itamkaje?

Unajua kama hukumu ikitamka tofauti kunatoa loophole huyu mtu kukata rufaa na kushinda kesi? Simply kwakua umeamua kurahisisha kwa kutoa hukumu ya maisha kwavile binadamu hafikishi miaka 200?

Na yote hayo ni kwavile umefuata ushauri wa posts za jf?
 
Naye anaacha kuiba kuanzia million 500 kwenda juu anaiba tuhela tudogo ambato ni sawa na kamshahara kake.. duuuu anafungwa kifala na ndugu zake hawata injoi maisha,, maana angefungwa na mihela kibao angewachia nduguze na huko mbeleni na angetoka tu,, pesa madafu
 
Kesi imefinguliwa Leo tarehe 7/05/2021 na hukumu imetolewa leo leo. Mashauri yote mahakamani yakiendeshwa hivi malalamiko yatapungua Sana.
Nadhani kafikiria akina Rugemalila wanavyosota mahabusu miaka na miaka bila kuhukumiwa.Kaamua akubali makosa labda italeta unafuu.
 
Hahaaha mkuu ukiona shauri limepelekwa namna hii Mahakamani ujue hapo kuna deal kati ya hakimu na mshtakiwa.
Hapo kuna deal limechezwa hiyo hukumu inaulakini .
Any way hakimu atakwambia yeye anatafsiri sheria
Kama Kuna dili mbona adhabu ni kali?
 
Back
Top Bottom