Songwe: Mwendesha Bodaboda achinjwa mbele ya mke wake

Wanyia wa Mbozi wakatili sana tumghoghe tumleshe? Walikua wanatumia hiyo kauli ya kuulizana wakiiba kuwa tumuache au tumuue mmoja tu akisema tumleshe ujue umepona...ukiwaona wanaongea kwa Upole utadhani watu...
Aisee umeongea ukweli mtupu wanaongea kwa upole kumbe Ni wanyama wa kali nimetema mate chini walai wale jama Ni ovyo mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Oohooo, yametokea tena?
ATTENTION: Wana jukwaa, memba mwenzetu mzabzab ni bodaboda na anapenda mbususu, kama bado yupo atoe taarifa kwa maana hata jina lake halisi hatulijui.
Sema hawa wanaochinja na kuondoka bila chochote hua wana lao jambo na alieuliwa.
Tungoje taarifa zaidi
 
Hahaha huyu kichaa ni boda boda kumbeee
Ndo maana akili zake fyatu
 
Walimkosa kosa kufanywaje?
Kuna bodaboda walimuua kwa ajili ya mambo ya wake za watu tukajua humu ndani ni yeye lakn alikuja kufufuka aksema sio yeye ni mwingine.
Kwaio siku hz tukionA boda boda kafa, lazma tumtafte kwanza kuhakikisha yuko hai
 
Isijekuwa kama yule kijana saidia fundi aliyeuawa na askari Dodoma kisa walikuwa wanagombea binti
 
Kuna bodaboda walimuua kwa ajili ya mambo ya wake za watu tukajua humu ndani ni yeye lakn alikuja kufufuka aksema sio yeye ni mwingine.
Kwaio siku hz tukionA boda boda kafa, lazma tumtafte kwanza kuhakikisha yuko hai
Hatariii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…