inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hao wachache ambao hawana athari ya dini,dini isingekuwepo kabisa hao wangekuwa wengi,wamanyema walikua wakila watu Kama watu Latin America walivokua..na mpaka Leo latin America wapo wanakula watuDini gani??hii ya nyaazi mungu wa magaidi wanao jiripua na kuua watu wasio na hatia kisa illusion za kidini.?
Dini haijasaidia kitu zaidi ya unafiki tu..unadhani hao walio muua hawana dini?
#MaendeleoHayanaChama
Ukizingua raia wanakushaya tu, we ukijifanya ckiboloika unachezea mkoyongo tu!Inahuzunisha sana pale Binadamu anapokuwa mkali kupita wanyama.
Wewe ukimkosea mtu na akachukua sheria mkononi anaamua kukupa adhabu kwa kadri akili yake itakavyomtuma.Adhabu yake lazima iwe hiyo?
Wanasema shida ni nini labda? Ni dhulma au ni mke wa mtu kaliwa?Limetokea kijijin kwetu bwana inahuzunisha sana
Limetokea kijijin kwetu bwana inahuzunisha sana
Ukiwaudhi utasikia "utakuja ujee"Wanyia wa Mbozi wakatili sana tumghoghe tumleshe? Walikua wanatumia hiyo kauli ya kuulizana wakiiba kuwa tumuache au tumuue mmoja tu akisema tumleshe ujue umepona...ukiwaona wanaongea kwa Upole utadhani watu...
Wameuziwa sana brauzi pale soko la mitumba Mwanjelwa na Sido...na wakiwakaba wale madereva maroli wanawaambia wewe ndio uliniuzia brauzi umekuja sasa dereva hata ishu ya shati brauzi hana taarifa nayo ...harafu kijijini hawachekani muhuni anatinga na brauzi yake mpaka kwenye mnada au gulio...Ukiwaudhi utasikia "utakuja ujee"