Songwe: Mwendesha Bodaboda achinjwa mbele ya mke wake

Dunia ya sasa imekua uwanja wa vita ukiwa mnyonge una left anytime yan undava undava tu
 
wanyiha wana roho mbaya sana za kichawi.....hakuna kabila tz zaidi yao ambalo huchuna watu ngozi
 
Mambo matatu yanaweza kuwa yanahusika hapa,mapenzi,pesa au ushirikina...
 
unajua polisi nao wengine n majambazi au wanashirikiana na majambazi!! sasa ukiruhusu wauwe cjui nn ktatokea
 
haya ni mauaji ya kisasi!uchunguzi wa polisi utakuja na mojawapo ya sababu hizi
1. mapenzi
2. biashara
3. au kisasi cha kudhulumiana etc
 

Jana tu nilikua na jamaa safarini akanihadithia story ya kutengeneza silaha kwa kutumia mabomba ya baiskeli inatoka gobole safi, pamoja na utekaji wa madreva wa malori ya mafuta halafu kumbe matenk yako chini na juu inajengwa nyumba watu wanakaa, ikaja story ya watu kupigwa nondo halafu ile nondo inatundikwa buchani inawekewa nyama inayouzwa inaisha fasta, mambo yalikua mengi sana
 
Wachuna ngozi katika ubora wao na ndio mkoa unaoongoza kwa kuwa na madhehebu mengi ya dini yani kila ukoo una dini yake na maasikofu wake na sijui wachungaji wake, yaani ni balaa tupu hao wanafyale
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaongea kw au upole kumbe wakali kinoma
 
Sio kweli. Unadhani hao wauaji hawana dini? hapana wanazo.
Isipokuwa binadamu mjinga ndio anakuwa katili kuliko mnyama.
Hawana dini mtu mwenye Imani hawezi kumchinja binadamu...wapo wenye Iman iliyosimama viumbe hai tu hawawezi kuua...Mimi Mzee alitufundisha kutokuua viumbe visivyodhuru binadamu kama mijusi mpaka leo nikiona mjusi ndani namfukuzia nje hata watoto wangu washaelewa hayo maisha...
 
Kwani umeambiwa ni makambazi? Mpaka anafanyiwa hivyo ujue **** mtu alimfanyia kitu kibaya sana.
 
Moja Kwa Moja hii itakuwa dhulma.
Waanze kwanza kuchunguza boda boda aliipataje kama ni yake.

Inaonekana Kuna kikosi maalumu Kwa ajili ya kazi hii maana staili waliomchinja inafana na aliyochinjiwa jamaa moja kusini;csema yeye walimuweka mwananke chini ya uvungu wakamchinja jamaa juu ya kitanda huku damu ikimumwagikia.

Msipende dhulma ndugu zangu hii ndio adhabu yenu.

Binafsi Kuna watu kama wawili nilifika wakati nikataka waliwe vichwa sema roho mtakatifu akanishukia nikajawa na hofu ya Mungu nikawasamehe japo moyoni naumia bado
 
Wanyia bhana pana kipindi ilitokea ajali kijiji kimoja hao jamaa wakataka kumuaa dereva wa ile Coaster akafanikiwa kukimbia wao wakaamua kuichoma moto gari mpya baadae wale madereva wakaweka mgomo hicho kijiji hakipo mbali na Mlowo walikua hawasimami na kituo kinachofuata ni mbali kidogo walipata tabu Kamanda wa mkoa sijui alikua Mzee Zerote Stiven nakumbuka Kijiji kilichangishwa walinunua 1HZ mpya kutoka Japan toka hapo huko wanajua haya magari ni gharama na kuyaheshimu hao jamaa nawajua vizuri sana kwa kweli...Wakumbozi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…