GE2025 Songwe: Nyumba ya Polisi yachomwa Moto na watu wasiojulikana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
10,825
Reaction score
38,702
Kazi imeanza huko! Ni alarm kwa polisi sasa
==============
Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Polisi Kata wa Kata ya Chitete, iliyopo Kijiji cha Ikumbilo, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe na kuteketeza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni.

Akizungumza leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Augostino Senga, amethibitisha tukio hilo na kusema lilitokea usiku wa Oktoba 22, 2025, wakati askari huyo, Mkaguzi wa Polisi Nsajigwa Mwajeka, akiwa kwenye majukumu maalumu.

Amesema moto huo uliteketeza vyumba viwili vya nyumba hiyo na kugunduliwa na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Chitete, Darkson Kamendu.

Miongoni mwa vitu vilivyoharibiwa ni nguo za kiraia, sare za polisi, vyombo vya nyumbani, mahindi, kitanda, godoro na vitu vingine vidogo vidogo.

Kumeanza kuchangamkaaa
 
October 29 ni humu tu...

20251018_083909.jpg
 
View attachment 3493001
Nyumba nzima ina mali za million 2
 
Kwamba polisi waishe ili tulete sungusungu ?!!!!

Hizi ni akili mgando za kushindwa kutatua tatizo kwa kuongeza tatizo.....
 
Back
Top Bottom