GE2025 Songwe: Nyumba ya Polisi yachomwa Moto na watu wasiojulikana

GE2025 Songwe: Nyumba ya Polisi yachomwa Moto na watu wasiojulikana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Vitu vya ndani vina thamani ya TV yangu, kwamba mimi ndio nina hela au hawa jamaa ndio wana njaa sana???
Hii 'mijamaa' inanuka shida, ila kwa kujitoa ufahamu imeamua kuwatetea
wezi wanaowaibia na ambao ndio chanzo cha umaskini wao.
Inaweza kuwa chanzo kuchomewa nyumba ni tabia yao ya kudhulumu na kunyanyasa raia.....NA BADO.
 
Back
Top Bottom